Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,189
- 6,450
Nlikuwa namwambia jamaa yangu mmoja alikuwa ananishangaa kuwa mbona sina girlfriend.
Kiukweli sisi wenye vijicent kidogo, tuna elimu nzuri,exposure,maisha mazuri tunayotaka na hatuna mawazo basi changamoto yetu kubwa inakuwa kupata msichana anayetupenda kwa dhati.
Msichana nikimsimamisha tu akaniona naendesha Benz,Range,Jeep,BMW na GMC hanikatalii penzi. Au akija home akakuta nmepark hayo magari siku hiyo hiyo ananipa penzi.
Huwa nakwazika sana.nami natamani msichana anizungushe kidogo awe mgumu hata kwa kwa week moja basi.nakosa.dada mmoja tu alionekana ana mapenzi kiasi maana siku ya kwanza nlimpa pesa ya usafiri wa uber kwenda kwao tsh 100,000 hakulalamika.
Nikakaa siku mbili tena nikamtumia tsh 250,000 za matumizi akashukuru sana mpaka nikashangaa.yule nilimwona ana mapenzi si mtu wa tamaa.bahati mbaya tu kumbe alikuwa ana boyfriend anataka amwache aje kwangu.hapo ndo nikamkatalia.
Kiukweli ni changamoto kupata mwanamke ambaye ntagisi ananipenda kwa dhati.asiangalie vijicent nlivyo navyo au sehemu nzuri,magari ya kifahali ya ulaya niliyo nayo.
Basi namwomba Mungu tu anisadie nlipenda sana kuoa mtanzania mwenzangu then nikaishi naye canada,sweden au USA. Sasa sijui ntafanyaje.