maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
soma uzi wako vizuri ueleweHapana. Wachumba ndo hunitafuta mimi. Mimi natafuta pesa tu na maisha mazuri duniani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
soma uzi wako vizuri ueleweHapana. Wachumba ndo hunitafuta mimi. Mimi natafuta pesa tu na maisha mazuri duniani.
Leo boss naona umeamua kutwanga minyuzi.
Anyway boss hebu nisaidie buku 10 nipate kuingiza chochote kitu tumboni utumbo umekakamaa huku kwa njaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yesu wangu😂😂😂😂😂😂😂Ntahamia wapi dada yangu? Mi nimeangali kwa dar sehemu tulivu kuishi angalau ni oysterbay.nlishawahi jifanya maskini nikaazima usafiri wa jamaa yangu harrier nikamfuata msichana.sema sikuwa comfortable sana huwa toyota zinanishinda.hizo boda boda ni zipoje?
Atawapata tuuu!Yesu wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani atawapata?Atawapata tuuu!
Atawapata tuuu!
JF hakuna wasichana smart?Pole sana kama unadhani ndo lengo langu.coz you dont know me.nlishawahi sema siwezi hata kwa dawa date msichana/mwanamke wa JF. mi nadate wasichana/wanawake smart. Halafu sina akili ya namna yako.
Kwani wewe shida yako si papuchi braza kiduku? Mengine we potezea mwanamke akikubali ashum anakupenda, mapenzi ya kweli hayapatikani popote duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hama unapokaa kwa muda
Then unakoenda ishi maisha duni sana hata 2weeks
Halafu tafuta msichana akupende wewe kama ulivo
Sio mali hata kama ukirudi na ukimtafuta tumia boda boda mpeleke gest za 10k au 5k akiendelea kuvumilia mpeleke home
Hapo utapata mke bora
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntahamia wapi dada yangu? Mi nimeangali kwa dar sehemu tulivu kuishi angalau ni oysterbay.nlishawahi jifanya maskini nikaazima usafiri wa jamaa yangu harrier nikamfuata msichana.sema sikuwa comfortable sana huwa toyota zinanishinda.hizo boda boda ni zipoje?
Mbona huwa mnaambiana humu 'tafuta hela utakula mwanamke umtakaye' nikajua ninyi hamna haja ya kupendwaPapuchi ya mwanamke akupendaye kwa dhati ni TAMU sana, vinginevyo ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
Si kila mwanaume anapenda kut..mba ilimradi anekutana na mwanamke.
Mapenzi ya dhati hayana mfano wake.
Kuna maisha zaidi ya kukulana, asiyekupenda atakutesa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona huwa mnaambiana humu 'tafuta hela utakula mwanamke umtakaye' nikajua ninyi hamna haja ya kupendwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kmmk 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌Ntahamia wapi dada yangu? Mi nimeangali kwa dar sehemu tulivu kuishi angalau ni oysterbay.nlishawahi jifanya maskini nikaazima usafiri wa jamaa yangu harrier nikamfuata msichana.sema sikuwa comfortable sana huwa toyota zinanishinda.hizo boda boda ni zipoje?
Tunawatamani wengi lakini tunatafuta mmoja wa kumpenda na yeye anipendeMbona huwa mnaambiana humu 'tafuta hela utakula mwanamke umtakaye' nikajua ninyi hamna haja ya kupendwa
Sent using Jamii Forums mobile app