Kwa sisi wanaume wa aina yetu tunapata mtihani mkubwa sana kwenye mapenzi

Kwa sisi wanaume wa aina yetu tunapata mtihani mkubwa sana kwenye mapenzi

Ntahamia wapi dada yangu? Mi nimeangali kwa dar sehemu tulivu kuishi angalau ni oysterbay.nlishawahi jifanya maskini nikaazima usafiri wa jamaa yangu harrier nikamfuata msichana.sema sikuwa comfortable sana huwa toyota zinanishinda.hizo boda boda ni zipoje?
😂😂😂😂😂😂kiduku bana unanivunja mbavu
 
Ntahamia wapi dada yangu? Mi nimeangali kwa dar sehemu tulivu kuishi angalau ni oysterbay.nlishawahi jifanya maskini nikaazima usafiri wa jamaa yangu harrier nikamfuata msichana.sema sikuwa comfortable sana huwa toyota zinanishinda.hizo boda boda ni zipoje?
Aisee[emoji119][emoji119][emoji119][emoji2357][emoji2357]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ntahamia wapi dada yangu? Mi nimeangali kwa dar sehemu tulivu kuishi angalau ni oysterbay.nlishawahi jifanya maskini nikaazima usafiri wa jamaa yangu harrier nikamfuata msichana.sema sikuwa comfortable sana huwa toyota zinanishinda.hizo boda boda ni zipoje?
Bro! Hesshima yako
 
mzunguko wote huu wa nn?? ngoja nkwambie, ukiwa na pesa hata uvae gunia utajulikana tu kwa sabu utakuwa na "NURU USONI" weeeee acha mchezo na pesa wwww yaan account inasoma bilion na ushee afu useme et uish maisha duni
Hama unapokaa kwa muda
Then unakoenda ishi maisha duni sana hata 2weeks
Halafu tafuta msichana akupende wewe kama ulivo
Sio mali hata kama ukirudi na ukimtafuta tumia boda boda mpeleke gest za 10k au 5k akiendelea kuvumilia mpeleke home
Hapo utapata mke bora

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ntahamia wapi dada yangu? Mi nimeangali kwa dar sehemu tulivu kuishi angalau ni oysterbay.nlishawahi jifanya maskini nikaazima usafiri wa jamaa yangu harrier nikamfuata msichana.sema sikuwa comfortable sana huwa toyota zinanishinda.hizo boda boda ni zipoje?
.nlishawahi jifanya maskini nikaazima usafiri wa jamaa yangu HARRIER nikamfuata msichana

daaah we mshkaji ni nyoko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaan harrier unaita gar ya kimasikin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nlikuwa namwambia jamaa yangu mmoja alikuwa ananishangaa kuwa mbona sina girlfriend.

Kiukweli sisi wenye vijicent kidogo, tuna elimu nzuri,exposure,maisha mazuri tunayotaka na hatuna mawazo basi changamoto yetu kubwa inakuwa kupata msichana anayetupenda kwa dhati.

Msichana nikimsimamisha tu akaniona naendesha Benz,Range,Jeep,BMW na GMC hanikatalii penzi. Au akija home akakuta nmepark hayo magari siku hiyo hiyo ananipa penzi.

Huwa nakwazika sana.nami natamani msichana anizungushe kidogo awe mgumu hata kwa kwa week moja basi.nakosa.dada mmoja tu alionekana ana mapenzi kiasi maana siku ya kwanza nlimpa pesa ya usafiri wa uber kwenda kwao tsh 100,000 hakulalamika.

Nikakaa siku mbili tena nikamtumia tsh 250,000 za matumizi akashukuru sana mpaka nikashangaa.yule nilimwona ana mapenzi si mtu wa tamaa.bahati mbaya tu kumbe alikuwa ana boyfriend anataka amwache aje kwangu.hapo ndo nikamkatalia.

Kiukweli ni changamoto kupata mwanamke ambaye ntagisi ananipenda kwa dhati.asiangalie vijicent nlivyo navyo au sehemu nzuri,magari ya kifahali ya ulaya niliyo nayo.

Basi namwomba Mungu tu anisadie nlipenda sana kuoa mtanzania mwenzangu then nikaishi naye canada,sweden au USA. Sasa sijui ntafanyaje.
Kula kimasihara tu hamna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ntahamia wapi dada yangu? Mi nimeangali kwa dar sehemu tulivu kuishi angalau ni oysterbay.nlishawahi jifanya maskini nikaazima usafiri wa jamaa yangu harrier nikamfuata msichana.sema sikuwa comfortable sana huwa toyota zinanishinda.hizo boda boda ni zipoje?
Boda Boda zipoje [emoji23][emoji23][emoji23]
Nna uhakika kuna watu wakikusoma huku wanakua uncomfortable mpaka nguvu za kiume zinaisha kabisa
 
Back
Top Bottom