Kwa sisi wanaume wa aina yetu tunapata mtihani mkubwa sana kwenye mapenzi

Yesu wangu😂😂😂😂😂😂😂
 
Pole sana kama unadhani ndo lengo langu.coz you dont know me.nlishawahi sema siwezi hata kwa dawa date msichana/mwanamke wa JF. mi nadate wasichana smart. Halafu sina akili ya namna yako.

Atawapata tuuu!
 
Pole sana kama unadhani ndo lengo langu.coz you dont know me.nlishawahi sema siwezi hata kwa dawa date msichana/mwanamke wa JF. mi nadate wasichana/wanawake smart. Halafu sina akili ya namna yako.
JF hakuna wasichana smart?
 
Papuchi ya mwanamke akupendaye kwa dhati ni TAMU sana, vinginevyo ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
Si kila mwanaume anapenda kut..mba ilimradi anekutana na mwanamke.
Mapenzi ya dhati hayana mfano wake.
Kuna maisha zaidi ya kukulana, asiyekupenda atakutesa.
Kwani wewe shida yako si papuchi braza kiduku? Mengine we potezea mwanamke akikubali ashum anakupenda, mapenzi ya kweli hayapatikani popote duniani

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bonge la ushauri.
Id ilinitisha lkn post yako imenivutia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unajua huwezi kudanganya watu wote siku zote.
Fake life ni raha sana.
Eti huu ni uandishi wa mtu msomi??????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona huwa mnaambiana humu 'tafuta hela utakula mwanamke umtakaye' nikajua ninyi hamna haja ya kupendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kmmk 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…