Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,189
- 6,450
- Thread starter
-
- #61
😂😂😂😂😂😂kiduku bana unanivunja mbavuNtahamia wapi dada yangu? Mi nimeangali kwa dar sehemu tulivu kuishi angalau ni oysterbay.nlishawahi jifanya maskini nikaazima usafiri wa jamaa yangu harrier nikamfuata msichana.sema sikuwa comfortable sana huwa toyota zinanishinda.hizo boda boda ni zipoje?
Aisee[emoji119][emoji119][emoji119][emoji2357][emoji2357]Ntahamia wapi dada yangu? Mi nimeangali kwa dar sehemu tulivu kuishi angalau ni oysterbay.nlishawahi jifanya maskini nikaazima usafiri wa jamaa yangu harrier nikamfuata msichana.sema sikuwa comfortable sana huwa toyota zinanishinda.hizo boda boda ni zipoje?
Bro! Hesshima yakoNtahamia wapi dada yangu? Mi nimeangali kwa dar sehemu tulivu kuishi angalau ni oysterbay.nlishawahi jifanya maskini nikaazima usafiri wa jamaa yangu harrier nikamfuata msichana.sema sikuwa comfortable sana huwa toyota zinanishinda.hizo boda boda ni zipoje?
GudumeID yako ya Gudume ndo umeamua kuipiga chini??
Hama unapokaa kwa muda
Then unakoenda ishi maisha duni sana hata 2weeks
Halafu tafuta msichana akupende wewe kama ulivo
Sio mali hata kama ukirudi na ukimtafuta tumia boda boda mpeleke gest za 10k au 5k akiendelea kuvumilia mpeleke home
Hapo utapata mke bora
Sent using Jamii Forums mobile app
.nlishawahi jifanya maskini nikaazima usafiri wa jamaa yangu HARRIER nikamfuata msichanaNtahamia wapi dada yangu? Mi nimeangali kwa dar sehemu tulivu kuishi angalau ni oysterbay.nlishawahi jifanya maskini nikaazima usafiri wa jamaa yangu harrier nikamfuata msichana.sema sikuwa comfortable sana huwa toyota zinanishinda.hizo boda boda ni zipoje?
Kula kimasihara tu hamna namnaNlikuwa namwambia jamaa yangu mmoja alikuwa ananishangaa kuwa mbona sina girlfriend.
Kiukweli sisi wenye vijicent kidogo, tuna elimu nzuri,exposure,maisha mazuri tunayotaka na hatuna mawazo basi changamoto yetu kubwa inakuwa kupata msichana anayetupenda kwa dhati.
Msichana nikimsimamisha tu akaniona naendesha Benz,Range,Jeep,BMW na GMC hanikatalii penzi. Au akija home akakuta nmepark hayo magari siku hiyo hiyo ananipa penzi.
Huwa nakwazika sana.nami natamani msichana anizungushe kidogo awe mgumu hata kwa kwa week moja basi.nakosa.dada mmoja tu alionekana ana mapenzi kiasi maana siku ya kwanza nlimpa pesa ya usafiri wa uber kwenda kwao tsh 100,000 hakulalamika.
Nikakaa siku mbili tena nikamtumia tsh 250,000 za matumizi akashukuru sana mpaka nikashangaa.yule nilimwona ana mapenzi si mtu wa tamaa.bahati mbaya tu kumbe alikuwa ana boyfriend anataka amwache aje kwangu.hapo ndo nikamkatalia.
Kiukweli ni changamoto kupata mwanamke ambaye ntagisi ananipenda kwa dhati.asiangalie vijicent nlivyo navyo au sehemu nzuri,magari ya kifahali ya ulaya niliyo nayo.
Basi namwomba Mungu tu anisadie nlipenda sana kuoa mtanzania mwenzangu then nikaishi naye canada,sweden au USA. Sasa sijui ntafanyaje.
Boda Boda zipoje [emoji23][emoji23][emoji23]Ntahamia wapi dada yangu? Mi nimeangali kwa dar sehemu tulivu kuishi angalau ni oysterbay.nlishawahi jifanya maskini nikaazima usafiri wa jamaa yangu harrier nikamfuata msichana.sema sikuwa comfortable sana huwa toyota zinanishinda.hizo boda boda ni zipoje?
Chezea Kiduku weweBoda Boda zipoje [emoji23][emoji23][emoji23]
Nna uhakika kuna watu wakikusoma huku wanakua uncomfortable mpaka nguvu za kiume zinaisha kabisa
Leo boss naona umeamua kutwanga minyuzi.
Anyway boss hebu nisaidie buku 10 nipate kuingiza chochote kitu tumboni utumbo umekakamaa huku kwa njaa.
Sent using Jamii Forums mobile app