Kwa Sisi Watibeli mtoto chini ya miaka sita anafundishiwa Nyumbani

Mbona wewe una jiko na wapishi nyumbani kwako lakini haurudi nyumbani kula chakula cha mchana badala yake unakula kwa mama ntilie??

Nenda Kariakoo au posta.
Wahindi na Waarabu robo tatu yao chakula kinatoka nyumbani. Anaagizwa mtu analeta ofisini.

Nilishakuambia upeo wako uko chini Sana. Hiyo elimi ya kizungu ndio imeongeza ujinga akilini mwako
 
Wewe kilaza, Wahindi wa Kariakoo wanaishi hapo hapo Kariakoo, Posta na Upanga sio kama nyie Wapare, Wachaga na Wakinga mnaoishi Kimara, Bunju na Kibaha halafu mnafanya kazi Kariakoo.
 
Banguabongo!

Yeyote anayelijua hili neno jitahidi kuvaa sweta, limonia inaua wazee 🤣
 
Mbona wewe una jiko na wapishi nyumbani kwako lakini haurudi nyumbani kula chakula cha mchana badala yake unakula kwa mama ntilie??
Huko mgahawani kwa akina mamantilie nina miaka zaidi ya 15 sijaenda kula
 
Hawa Watibeli mjini kila siku wanashinda kula mighahawani badala ya kurudi nyumbani kula kwa wake zao.
 
Wewe kilaza, Wahindi wa Kariakoo wanaishi hapo hapo Kariakoo, Posta na Upanga sio kama nyie Wapare, Wachaga na Wakinga mnaoishi Kimara, Bunju na Kibaha halafu mnafanya kazi Kariakoo.

Kwani Kimara na Kariakoo ni Mbali?
Hivi unajua Mhindi anayeishi Masaki akipeleka kitu Kariakoo
Mtu wa Kimara akipanda Mwendokasi atawahi kufika kabla ya huyo wa Masaki?
 
Hawa Watibeli mjini kila siku wanashinda kula mighahawani badala ya kurudi nyumbani kula kwa wake zao.

Unaota. Usifikiri Watibeli wanafanana na upeo wako.
Ujinga wa Watibeli kwa mtu kama wewe ni maarifa makubwa
 
Kwahiyo na hao wa miaka 17 nao wanaolewa wakiwa na degree? Maana na wao ni watoto wa 2000 na umesema umri wa kuolewa kwa watibeli ni 17-24.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…