Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Bahima Empire!!
Hivi mkuu wa Tibeli ni watu wa aina gani?Kwema Wakuu!
Ikiwa wewe sio Mtibeli lakini ikatokea ukaoa binti ya Tibeli basi Elewa kuwa M/Watoto watakaozaliwa kwenye ndoa yenu watakuwa ni Watibeli.
Kwa sisi Watibeli, katika suala la uzao. Mwanaume na mwanamke ni Sawa.
Kwetu Mwanamke na mwanaume ni Sawa ikiwa wote ni Watibeli.
Lakini ikiwa Mwanamke wa kitibeli akaolewa na mwanaume asiyemtibeli basi Mwanamke huyo ndiye atakayekuwa kiongozi wa hiyo nyumba.
Mwanamke wa Tibeli ni zaidi ya mwanaume wa kawaida ambaye siye Mtibeli hata kama angekuwa na sifa ipi.
Hivyo ndivyo Watibeli tulivyo na ndivyo itakavyokuwa.
Wako ukanda wa gazaHivi mkuu wa Tibeli ni watu wa aina gani?
nilichokipata kutoka kwa googleKwema Wakuu!