Hapana mkuu, tumempima kwa game ngumu! Inawezekana ni kujua jinsi ya kumtumia tu! He is mr magician [emoji119]Usiseme tu ulaya ata uwarabuni chama alishindwa chama soka la kasi uwa linamsumbua
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Nadhani atakuwa amekosa Right channel ya kumpeleka huko.
Hana nguvu miguuni anapoteza nafasi nyingi sana kulinganisha na anazotumia... ni mchezaji wa kawaida mnoo namuona Bwalya anajitahidi zaidi.. kwa Simba mchezaji asiyebahatisha ni Luis Miquoisone na Luanga... Chama hawezi kabisa cheza soka la nguvu na kasiWakuu,
Kwa skills zile, why chama ameshindwa kucheza ulaya? Tuwe honest, zile skills si za kawaida [emoji119]. Why! Why! Why!
He is supernatural, magician [emoji145], kwanini yaani? Weka uyanga na usimba pembeni, zile akili kwanini zinaishia kwa Mkapa?
"Saint" Chama [emoji119][emoji119]
Luis ndio anatakiwa acheze Ulaya,ana kasi. Ulaya wanacheza kasi sana
Kapombe, Zimbwe, Morrison, Kahata, Bwalya, LwangaKwa mtu anaejua mpira aki asses, Simba wachezaji wenye uwezo mkubwa wa kucheza ligi kubwa ni wawili tu .. miquissone na onyango... na kidogooo tukiweka wa tatu anakuwa manula...
Wengine wote wana kiwango cha ligi ya Tz tu
Bila shaka anatatizo la mguu.. kama mfupi hvHana nguvu miguuni anapoteza nafasi nyingi sana kulinganisha na anazotumia... ni mchezaji wa kawaida mnoo namuona Bwalya anajitahidi zaidi.. kwa Simba mchezaji asiyebahatisha ni Luis Miquoisone na Luanga... Chama hawezi kabisa cheza soka la nguvu na kasi
Ulaya ni ulaya tu mkuu.. kikubwa CV ikueUlaya! Club gani labda. Labda aende kucheza nchi za bulgaria, Romania, n alike. Si zile top 5. Na hata akifanikiwa huko kwenye top 5 labda acheze non division league. Kwa England ni nation league na league two.
kwahiyo simba wana kiwango cha league two? seriously??Ulaya! Club gani labda. Labda aende kucheza nchi za bulgaria, Romania, n alike. Si zile top 5. Na hata akifanikiwa huko kwenye top 5 labda acheze non division league. Kwa England ni nation league na league two.
Wa kawaida sana, kiwango cha kuchezea Njombe MjiWakuu,
Kwa skills zile, why chama ameshindwa kucheza ulaya? Tuwe honest, zile skills si za kawaida [emoji119]. Why! Why! Why!
He is supernatural, magician [emoji145], kwanini yaani? Weka uyanga na usimba pembeni, zile akili kwanini zinaishia kwa Mkapa?
"Saint" Chama [emoji119][emoji119]