GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
Nimeona nizungumze hili kwa vile kwa kweli katika walio ktk game ya stand up comedy. Kuna watu wanajaribu sana kumkuza Mc pilipili ambaye mimi namwona ni mmoja ya watu wasiojua kuchekesha hapa duniani. Sema kila shetani ana mbuyu wake.
JOTI ni mchekeshaji mzuri sana ambaye kama angefanya stand up comedy nadhan angefika mbali sana hata kimataifa kama akina erick omond n.k the man is good. Alivyo na vituko na uchekeshaji na si kama mc pilipili anayelazimisha fani.
Namshauri JOTI afanye stand up comedy na kama ameanza fanya atwambie anapatikana wapi ili watu wajifunze namna ya kucheksha na si kusimama jukwaan kuongea ujinga ujinga kama mc pilipil then mtake sisi wenye akili tucheke.