GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
- Thread starter
- #41
Mama...hatuongei mipasho. Kama hukubaliani na mawazo yangu ni haki yako ya msingi pia. Mc pilipili ni kilaza anachekesha wa akili kama zako
Umeshasema anachekesha wa aina yake. Pilipili usioila yakuwashia nini? Wewe sio wa aina yake. Ama pengine huna bandama. Ndo maana huwezi kuchekeshwa nae.
Binafsi Joti Pilipili na Mau wote hawanichekeshi. Hawako original. Lakini siwezi sema ni wabaya. Kuna watu wanachekeshwa na yule wa insta anaepaka mikorogo. Sabutoke sjui. Kila kitu na mahali pake na watu wake.
Huwezi amini kuna watu wanaamini Magu anafanya vizuri. Hao ndo wananichekeshaga kuliko Sabutoke na miwanja yake kama nya...