GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
- Thread starter
- #21
Aisee... Tumeumbwa tofauti... Mimi binafsi huwa namwona anafanya tu mambo ya kipuuzi na kitoto... Nmeshindwa mara zote kuchekeshwa naye namwona tu kwa kuwa ndo ajira yake anajilazimisha aimudu.
Kwa wewe sikulamu ndege wa rangi moja huruka pamoja.
Kwa wewe sikulamu ndege wa rangi moja huruka pamoja.
Joti kuchekesha ktk maigizo yake sio lazma aweze pia kuchekesha ktk stand up comedy,stand up comedy ni ngumu tofauti na maigizo ya kutengeneza.lakini ni vizur tukaacha tabia ya kugeneralize mambo,binafsi ktk wachekeshaji wanaonichekeshaga sana tu ni pamoja na Mc pilipili,wakat mwingine hv vitu vinataka uwe una sense of humour and less serious na uwe umejiweka ktk mood ya kuchekeshwa.