Umeshasema anachekesha wa aina yake. Pilipili usioila yakuwashia nini? Wewe sio wa aina yake. Ama pengine huna bandama. Ndo maana huwezi kuchekeshwa nae.
Binafsi Joti Pilipili na Mau wote hawanichekeshi. Hawako original. Lakini siwezi sema ni wabaya. Kuna watu wanachekeshwa na yule wa insta anaepaka mikorogo. Sabutoke sjui. Kila kitu na mahali pake na watu wake.
Huwezi amini kuna watu wanaamini Magu anafanya vizuri. Hao ndo wananichekeshaga kuliko Sabutoke na miwanja yake kama nya...
Ndo maana huwezi muelewa Pilipili. Wewe huchekeshwi nae kwa sababu hujafikia level ya kuhudhuria standup comedy. Sembuse kuichambua?Mama...hatuongei mipasho. Kama hukubaliani na mawazo yangu ni haki yako ya msingi pia. Mc pilipili ni kilaza anachekesha wa akili kama zako
Ndo maana huwezi muelewa Pilipili. Wewe huchekeshwi nae kwa sababu hujafikia level ya kuhudhuria standup comedy. Sembuse kuichambua?
Vikaragosi vya Joti ndo saizi yako. Na wale wa mtaani wanaojipaka masizi. Labda na kushangaa ngongoti. Kwako ndo vichekesho.
Sijawahi kumkubali na sitokaa nimkubali mcpilipili usanii tu hana kituNimeona nizungumze hili kwa vile kwa kweli katika walio ktk game ya stand up comedy. Kuna watu wanajaribu sana kumkuza Mc pilipili ambaye mimi namwona ni mmoja ya watu wasiojua kuchekesha hapa duniani. Sema kila shetani ana mbuyu wake.
JOTI ni mchekeshaji mzuri sana ambaye kama angefanya stand up comedy nadhan angefika mbali sana hata kimataifa kama akina erick omond n.k the man is good. Alivyo na vituko na uchekeshaji na si kama mc pilipili anayelazimisha fani.
Namshauri JOTI afanye stand up comedy na kama ameanza fanya atwambie anapatikana wapi ili watu wajifunze namna ya kucheksha na si kusimama jukwaan kuongea ujinga ujinga kama mc pilipil then mtake sisi wenye akili tucheke.
Unazidi kujianika. Ni wazi una personal issues na Pilipili halafu unazileta media. Malizana nae kivingine. Sio kuharibu kazi yake. Kila mtu ana uwezo tofauti. Kama unaona anapokosea msahihishe hapo. Ungesema vipengele anavyokosea sio kubwabwaja eti bora Joti.Naona pilipili unajitetea sana. Binafsi hao wa kujipaka masizi au ngongoti sijui hata pa kuwapata wapi. Nimeanza kuangalia stand up comedy wakat wewe bado upo mbwinde. Akina sinbad, eddie murphy etc.
Kipindi hicho wewe upo mbwinde kabla hujaja dar kupitia mjomba wako ambaye ndo akipokea hapa dar. Wewe umeanza kuijua stand up comedy kupitia pilipili. Mimi namfaham pilipil sabab kwenye harus ya mdogo wangu alikuwa ndo mc...ndo nlipomdharau kwa kuwa anaongea ongea ujinga. Naweza kukuwekea video coz ipo youtube nami nipo.hivyo nmeshawah kuwa boss wake mara mbili. Nligundua ni mtu mmoja mpuuzi tu na hata alipokuwa mc kwenye hzo harus nlimwambia asiongee vitu vya kipuuzi huwa sipend alialikwa kwa sabab mimi nliwaacha kamati ya burudan iamue otherwise nliwaambia mimi nina akili nzuri siwez mkod mtu kama yeye.
Unazidi kujianika. Ni wazi una personal issues na Pilipili halafu unazileta media. Malizana nae kivingine. Sio kuharibu kazi yake. Kila mtu ana uwezo tofauti. Kama unaona anapokosea msahihishe hapo. Ungesema vipengele anavyokosea sio kubwabwaja eti bora Joti.
Umetoka kuniita mama sasa unaniita Pilipili. Ukimaanisha ndio vitu unachukia hivyo ni rahisi kumkejeli navyo mwingine. Ukapimwe wewe si bure.
Wewe kuangalia Eddie marphy charlie Chaplin na huyo kikaragosi sindbad, hata mtoto aliezaliwa leo anaweza kuwaona. Sembuse aliekuja Dar kwa anko wake wakati we ukizitizama kule kwa sancho?
Unazungumza kama vile kuwa mwenyeji wa dar au kufika dar mapema ndio kujua mengi. Kweli wa Dar mna tatizo. Huko ambako mnatapisha machoo? Huko mnakokula chipsi mayai viza kwenye majalala mnayoita mitaa? Ndo wajuaji nyie? Huko mnakolia kisa mmeambiwa mtoe vyeti? Hakuna mwenye utimamu anaesifia kuwahi kufika Dar.
Anzisha stand up yako halafu tukuamue. We unadhani mchezo kusimama mbele za watu?

Ushauri wako kaupataNimeona nizungumze hili kwa vile kwa kweli katika walio ktk game ya stand up comedy. Kuna watu wanajaribu sana kumkuza Mc pilipili ambaye mimi namwona ni mmoja ya watu wasiojua kuchekesha hapa duniani. Sema kila shetani ana mbuyu wake.
JOTI ni mchekeshaji mzuri sana ambaye kama angefanya stand up comedy nadhan angefika mbali sana hata kimataifa kama akina erick omond n.k the man is good. Alivyo na vituko na uchekeshaji na si kama mc pilipili anayelazimisha fani.
Namshauri JOTI afanye stand up comedy na kama ameanza fanya atwambie anapatikana wapi ili watu wajifunze namna ya kucheksha na si kusimama jukwaan kuongea ujinga ujinga kama mc pilipil then mtake sisi wenye akili tucheke.
Ushauri wako kaupata
Ila joti stand up komedi hawezi kuliko mc pilipili,
Joti anatumia vitendo zaidi kuchekesha kuliko kuongea na standup komedi inahitaji maneno tu zaidi Kwahyo mc pilipili is better.
Pia mpoki ndo anaweza standup komedi zaidi
iPhone 6s