Kwa Stand Up Comedy Joti ni Bora 1000 times Mc Pilipili ambaye analazimisha fani

Andaa basi tupige kura zkifka 50 inatosha kutafta mshidi la sivyomtabishana mpaka basi,kwangu Mimi wote wazur ila kiboko yao ni mpoki uyu bwana kwauchekeshaji hapa bongo sioni km ana mpinzani huo mm ndomtazamo wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweweseka tu humu. Huifahamu stand up comedy. Plain. Simple fact. Mambo ya umri nimeshakwambia hayahusiani.
 
Mc pilipili analazimisha watu wacheke, walau joti! Japo joti kwa stand up comedy hawezi kivile kumpita mpoki! Ila linapokuja suala la luningani joti hafaiiiii!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea point sana ni sawa na kusema ebitoke kisa anachekesha afanye standup comedy kusimama zaidi ya saa na kuchekesha watu sio kazi ndogo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Umeongea point sana ni sawa na kusema ebitoke kisa anachekesha afanye standup comedy kusimama zaidi ya saa na kuchekesha watu sio kazi ndogo

Post sent using JamiiForums mobile app
Point hiyo
 
Labda hujui maana ya stand up comedian
Joti anachekesha kwa clip comedy
Lakini mc pilipili ni bingwa wa stand up comedy bongo hii
Au waulize stand up comedian unaowajua wa hapa bongo wakwambie

Mc pilipipi is the best

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…