Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
Bangi sio mboga hiyo ndo Madrid The Galiticos hainaga masihala kwenye makombe ya maana, Barca mtaendelea kubwata tuAhsante sana Perez ukishindwa kutongoza wewe nunua malaya tu
Hala uefadrid
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bangi sio mboga hiyo ndo Madrid The Galiticos hainaga masihala kwenye makombe ya maana, Barca mtaendelea kubwata tuAhsante sana Perez ukishindwa kutongoza wewe nunua malaya tu
Hala uefadrid
Bangi sio mboga hiyo ndo Madrid The Galiticos hainaga masihala kwenye makombe ya maana, Barca mtaendelea kubwata tu
Sababu ya wewe kunitukana nini? We ndo Juve??? Nataka jibu,
Tusitafutiane ubaya mzee, sina utani na mtu mimi aisee, sawa!!!
Yeah umeongea ukweli mtupu.Mimi Si Mshabiki Wa Real Lakini Nimegundua Kuwa Katika Washabiki Watakaoumia Zaidi Msimu Huu Ni Wa Barcelona. Kwani Wanaumbuliwa Na Maneno Yao Kama "MESSI NI MUNGU WA MPIRA", "MESSI HAKABIKI", "HAKUNA WA KUIFUNGA BARCELONA", " CL NI YA BARCELONA BILA YA UPINZANI WOWOTE", "HAKUNA TIMU INAYOTUSUMBUA KWENYE CL", "TIMU PEKEE KATIKA ROBO NI BARCELONA, WALIOBAKIA NI WASINDIKIZAJI", " BARCELONA AMESHATINGA FINAL KILICHOBAKIA TUNAMNGOJA MPINZANI WETU TU".
Na Kauli nyengine Kibao ambazo ziliwaaminisha Kuwa Ukiwa na Messi huwezi Kushindwa Kuchukua Kombe lolote lile.
una uhakika yule refa anatoka englandleo ndio nimeamini kwanini kombe la Dunia hamna referee hata mmoja kutoka Uingeleza na viunga vyake
Washabiki wa barca hao mkuu wana hasira ya kutolewa, hizo ni chuki tu kwa ronaldoSababu ya wewe kunitukana nini? We ndo Juve??? Nataka jibu,
GoodBangi sio mboga hiyo ndo Madrid The Galiticos hainaga masihala kwenye makombe ya maana, Barca mtaendelea kubwata tu
Hahahahahahahahahahahahaha:Kuibetia Juve kwenye UEFA ipite to the next round mbele ya Madrid ni sawasawa na kumdhamini mmasai mahakamani ambapo siku ya kwenda mahakamani mmasai anaenda kuchunga ng'ombe!!!
hahaaambona refa kaliziba vizuri tu zile dakika za ramos