Kwa style hii hili kombe tunalibeba Mara kumi mfululizo

Ahsante sana Perez ukishindwa kutongoza wewe nunua malaya tu

Hala uefadrid
Bangi sio mboga hiyo ndo Madrid The Galiticos hainaga masihala kwenye makombe ya maana, Barca mtaendelea kubwata tu
 
Mimi Si Mshabiki Wa Real Lakini Nimegundua Kuwa Katika Washabiki Watakaoumia Zaidi Msimu Huu Ni Wa Barcelona. Kwani Wanaumbuliwa Na Maneno Yao Kama "MESSI NI MUNGU WA MPIRA", "MESSI HAKABIKI", "HAKUNA WA KUIFUNGA BARCELONA", " CL NI YA BARCELONA BILA YA UPINZANI WOWOTE", "HAKUNA TIMU INAYOTUSUMBUA KWENYE CL", "TIMU PEKEE KATIKA ROBO NI BARCELONA, WALIOBAKIA NI WASINDIKIZAJI", " BARCELONA AMESHATINGA FINAL KILICHOBAKIA TUNAMNGOJA MPINZANI WETU TU".
Na Kauli nyengine Kibao ambazo ziliwaaminisha Kuwa Ukiwa na Messi huwezi Kushindwa Kuchukua Kombe lolote lile.
 
Yeah umeongea ukweli mtupu.
 
:Kuibetia Juve kwenye UEFA ipite to the next round mbele ya Madrid ni sawasawa na kumdhamini mmasai mahakamani ambapo siku ya kwenda mahakamani mmasai anaenda kuchunga ng'ombe!!!
Hahahahahahahahahahahahaha
 
Back
Top Bottom