Ni kweli! Hiyo ni sehemu ya sanaa ili jina Lake lisikauke vinywani mwa mashabiki na hata wapinzani wake.Kila mtu na nafasi yake huyo ni msaniii lazima show off kwani ndio taaluma yake inamruhusu hivyo.......kuongelewa na kusemwasemwa kila saaa
Wenye hela hawazianiki kihivyo,,, lini umemkuta Bahresa kaweka hela mezani anahesabu.
Pia ulimbukeni na kukosa akili kuweka hela hadharani namna hiyo. Technologia ilivyokuwa sioni kama kuna haja ya kuonyesha hela. Hela nyingi.sasa hv zipo katika.mfumo wa electronic na siyo hard cash. Kuweka hela nyingi kwenye hard cash ni kujihatarishia maisha tu.
Gym bila kupima afya ni ujuha zaidiTusipende kubeza gym kwa kisingizio cha pesa... Ni ujuha
Hamna mahusiano kiki ya show ya Kenya na Demu huyo ndiye muandaji Mombasa na Nairobi,kiingilio Ksh 5000 (Tsh 100,000) na Ksh 4000 (Tsh 80000) wanatengeneza hela tu.
Hamna ndoa hapo hiyo ni kiki.[emoji23][emoji23]jmn kashatangaza ,ndoa tarehe 14/2
Na wavivu wa kufanya mazoeziHahahaha mkuu umenifurahisha. Wenye vitambi wameona ndio chaka la kujificha
Acha uboya mwenye pesa lazima ajitangaze na ndo maana kukawa na list za matajir dunianSawa wenye pesa Zao hawajitangazi mtadaoni namna hiyo, ni nyinyi mliopata vijisenti mnaanza kuliza mbwata!!
Ahahahhhahahahaajhauaua mkuu umetisha yaani pesa inapigwa na muandaaji anatafunwaNa kuliwa analiwa
Acha ushamba wewe mambo ya kawaida hayo relax uione dunia kwa jicho la STRESSFREESawa wenye pesa Zao hawajitangazi mtadaoni namna hiyo, ni nyinyi mliopata vijisenti mnaanza kuliza mbwata!!
uione dunia kwa jicho la STRESSFREE
Acha uboya mwenye pesa lazima ajitangaze na ndo maana kukawa na list za matajir dunian