mwanawao
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 3,192
- 5,743
Wenye hela hawazianiki kihivyo,,, lini umemkuta Bahresa kaweka hela mezani anahesabu.
Pia ulimbukeni na kukosa akili kuweka hela hadharani namna hiyo. Technologia ilivyokuwa sioni kama kuna haja ya kuonyesha hela. Hela nyingi.sasa hv zipo katika.mfumo wa electronic na siyo hard cash. Kuweka hela nyingi kwenye hard cash ni kujihatarishia maisha tu.