Chozizwa2020
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 912
- 853
Mkuu ile sio CCM kwa maana ya Chama bali ile ni CCM Serikali, maana kuanzia mwajiri Mkuu hadi Mhudumu, wote wana kadi ya kijani.Bora hata!
Lakini sijui mnapata wapi ujasiri wa kuitetea serikali!
Mkuu ile sio CCM kwa maana ya Chama bali ile ni CCM Serikali, maana kuanzia mwajiri Mkuu hadi Mhudumu, wote wana kadi ya kijani.Bora hata!
Lakini sijui mnapata wapi ujasiri wa kuitetea serikali!
Mkuu kwa vigezo vipi?Kwa Taarifa hii ya Upigaji kutoka Kwa CAG, naanza rasmi kuitetea Serikali
Mkuu ni kweli, maana wakati wake hizi ripoti hatukiona. Aidha alipoona Mkaguzi Mkuu wa Serikali anasumbua, aliamua kumtimua kabisaaa. Tanzania ina mambo.Huyo Mwendazake usimtaje kbisa ni rubbish wale wale
Aha ha a a karibu sana team Chato tumetumia NGUVU nyingi kukuelewesha lakini ukawa kichwa ngumu na kutukana watu matusi humu.
Serikali ya Awamu ya sita imeoza na inanuka uozo hatari TULISHALIONA Hilo tu alipoanza uteuzi BI TOZO
Huyo Mwendazake usimtaje kbisa ni rubbish wale wale
Serikali zinapita... Mfumo imara unabaki!Unawezaje kutofautisha serikali na mfumo?
Bila kunyonga wahujumu mifumo haitaacha kutikiswaSerikali zinapita... Mfumo imara unabaki!
Serikali si watakwambia hii ni ya ccm au hii ni awamu ya sita?!
But mifumo imara inabaki regardless nani yupo kwa power.