Kwa Taarifa hii ya Upigaji kutoka Kwa CAG, naacha rasmi kuitetea Serikali

Kwa Taarifa hii ya Upigaji kutoka Kwa CAG, naacha rasmi kuitetea Serikali

Huna ambacho unatetea humu wewe kila siku nikuwatukana Watanzania.
Umebadilisha majina kede kede humu na naona unarudi kule kule nenda mkazaliane na binamu wenzenu huko she*** taip,
Mbona unatukana una shida gani we dingi
 
Kupigania Serikali kwenye Haki ya upigaji kama hii wakati Mimi sipati chochote Hadi kuishia kuitwa chawa ni fedheha.

Rasmi naacha Kuitetea Serikali wanaonufaika ndio waje Kuitetea na kujitetea..

Nitakuwa mpenzi mtizamaji na mchangiaji wa kawaida.

Mwisho ila sio Kwa umuhimu,Kama Rais atachukua hatua nitarudi ila kama itapita kimya kimya basi siko tayari kubebea watu misalaba.
Kwahiyo utaikacha pia na ID hii ndugu Sunkcost fallacy?
 
Mimi sipati chochote Hadi kuishia kuitwa chawa ni fedheha.
Wewe ni muongo wa kupitiliza. Jamvi unalotumia kufikisha na kusambaza ujumbe wako unatumika kwa Biashara. Unatumia lugha za hisia ilimradi watu tuwe tunajibishana hivi ili uongeze Views na ndio unapopatia mshiko huko.....usijifanye lolote lile.
Una ma id kibao humu na inatia wasiwasi kuwa unatumia automated bots...

Una bahati kuna watu wanakukingia kifua humu kwa sababu unachangia kuleta trafiki.....bahati mbaya unakuja na watu wako walio jaa ukimbari.

Baboon ni lile qmmmk linavyofanana.
 
Kwahiyo utaikacha pia na ID hii ndugu Sunkcost fallacy?
Hizo I'd ni vile nilikuwa nakwaruzana na watu napata ban so sitegemei ban tena Kwa sababu mambo ya siasa nawaachia wenyewe
 
Wewe ni muongo wa kupitiliza. Jamvi unalotumia kufikisha na kusambaza ujumbe wako unatumika kwa Biashara. Unatumia lugha za hisia ilimradi watu tuwe tunajibishana hivi ili uongeze Views na ndio unapopatia mshiko huko.....usijifanye lolote lile.
Una ma id kibao humu na inatia wasiwasi kuwa unatumia automated bots...

Una bahati kuna watu wanakukingia kifua humu kwa sababu unachangia kuleta trafiki.....bahati mbaya unakuja na watu wako walio jaa ukimbari.

Baboon ni lile qmmmk linavyofanana.
Duu umenipa idea ngoja nifanyie kazi kama humu nilishapata followers kumbe huko insta,fb, Twitter,you tube ningepiga pesa..
 
Ulikua hodari sana wa kuitetea serikali,wanaojua mambo wakawa wanakucheki wanasema huyu anapuyanga mitandaoni huku wanaofaidika ni wengine.
 
Hizo I'd ni vile nilikuwa nakwaruzana na watu napata ban so sitegemei ban tena Kwa sababu mambo ya siasa nawaachia wenyewe
Ndo ujifunze,

Kijana mdogo kumtetea Mzee mwenye zaidi ya miaka 60 madarakani ni chaguo lisilo sahihi.
 
Nitakufuatia mpaka kule kwenye jamvi lako kuuu, punguwani. wee

Tahadhari kwa wote wanaojibishana na huyu mtu.
Usijibishane nae moja kwa moja, yaani usitumie reply pale unapokuta anaposti mapicha yale au sijui maripoti anayokuja nayo....yamejaa codes. unakuta mnajibishana halafu yeye anajifanya anakupa facts ambayo ni picha picha .....usii reply pale, huwa anatumia hayo kufanya ushenzi anaoufanyia Jamii yetu.....ipo mifano mingi sana humu ila siwezi bandika yote kwa sababu za kiusalama na kutoa mbinu ninazotumia.
Muwe makini
 
TCRA wamchunguze huyu, haya madubwasha ni hatari kwa Usalama wa Taifa...and I hope Ofisi ya Takwimu ya Taifa Tanzania wametoa mwongozo hapa Jamvini.
 
Kupigania Serikali kwenye Haki ya upigaji kama hii wakati Mimi sipati chochote Hadi kuishia kuitwa chawa ni fedheha.

Rasmi naacha Kuitetea Serikali wanaonufaika ndio waje Kuitetea na kujitetea..

Nitakuwa mpenzi mtizamaji na mchangiaji wa kawaida.

Mwisho ila sio Kwa umuhimu,Kama Rais atachukua hatua nitarudi ila kama itapita kimya kimya basi siko tayari kubebea watu misalaba.
Mkuu HONGERA kwa kujitambua.
 
Codes zake za mapicha zinaweza fungua codes za member wa JF under Max?
Hayo siyajui. Ila huyu anatumia ujanja ujanja kuvutia Views ili alipwe huko anapofanyia ujambazi wake. Tatizo lipo kwenye numbers. Jamvi analotumia na Jamvi hili yanaongozwa na Views au ndipo JF inapoelekea. Siwezi kumjibia Max...yeye afanye tafiti zake mwenyewe. Ila awatizame baadhi ya watu wake wanaoweza kuwa wanaacha vitu ambvyo vipo dhahiri na wenye uweledi Tehama.
 
Katiba mpya,ndio itaweka mifumo sahihi.
Nani atashiriki kutengeneza katiba mpya, atatumia njia gani kuandaa katiba mpya, atatumia rasilimali zipi kufanya kazi hiyo ya kutengeneza katiba, na hizo rasilimali zitatoka wapi na kwa nani?
 
Aha ha a a karibu sana team Chato tumetumia NGUVU nyingi kukuelewesha lakini ukawa kichwa ngumu na kutukana watu matusi humu.

Serikali ya Awamu ya sita imeoza na inanuka uozo hatari TULISHALIONA Hilo tu alipoanza uteuzi BI TOZO
Kwani kuna mwaka ambao CAG hajawahi kuibua madudu? Umesahau repoti ya mwaka wa fedha 2020/2021? Madudu yalijaa kibao pia.

Umesahau repoti ya prof Assad ilivyoibua upotevu matrilioni ya pesa?
 
Hivi serious kabisa pale alikuwa akimaanisha haya tunayoyasikia sasa au mi ndiyo nilielewa vibaya?
Alisema mnakula sana hadi mnavimbiwa, toshekeni. Kuleni kwa urefu wa kamba

Ukishindwa kutafsiri hapo basi hiko kichwa fugia nywele tu
 
Back
Top Bottom