Mimi nadhani hiyo nguvu uliyoitumia kuitetea serikali ihamishe kwenye kupiga kampeini CAG abadilishwe ama atimuliwe!!!
Eeh! Ndiyo atimuliwe, unashangaaa nini!!?
Nakushauri ufanye hivyo, kwa sababu kama unafanya ukaguzi (CAG) unakuta mapungufu unatoa mapendekezo namna ya kuondoa mapungufu hayo na bado matatizo ya mapungufu hayo yanaoongezeka Kila uletapo ripoti nyingine....! Una haja gani ya kuendelea kuwa mkaguzi(CAG) kwenye Ofisi hiyo kama siyo unakaa kutafuna 'ngawila' za Watanzania bila umuhimu?