Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Kura itapigwa kwa namba yako na utawapigia utake usitakeSina hata ratiba ya kupiga kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kura itapigwa kwa namba yako na utawapigia utake usitakeSina hata ratiba ya kupiga kura
Rais anatakiwa aoneshe makali haiwezekani tukamuliwe mitozo, bundle ziongezwe bei afu kuna mbwa wanakula bure tu
Inauma sana [emoji22] huku mtaani maisha magumu ila huko juu watu wanajichotea tu... maumivu ni makali kwa kweliKupigania Serikali kwenye Haki ya upigaji kama hii wakati Mimi sipati chochote Hadi kuishia kuitwa chawa ni fedheha.
Rasmi naacha Kuitetea Serikali wanaonufaika ndio waje Kuitetea na kujitetea..
Nitakuwa mpenzi mtizamaji na mchangiaji wa kawaida.
Mwisho ila sio Kwa umuhimu,Kama Rais atachukua hatua nitarudi ila kama itapita kimya kimya basi siko tayari kubebea watu misalaba.
The Sunk Cost Fallacy 2 pole sana. Bado Lucas mwashambwaKupigania Serikali kwenye Haki ya upigaji kama hii wakati Mimi sipati chochote Hadi kuishia kuitwa chawa ni fedheha.
Rasmi naacha Kuitetea Serikali wanaonufaika ndio waje Kuitetea na kujitetea..
Nitakuwa mpenzi mtizamaji na mchangiaji wa kawaida.
Mwisho ila sio Kwa umuhimu,Kama Rais atachukua hatua nitarudi ila kama itapita kimya kimya basi siko tayari kubebea watu misalaba.
Nina Imani na serikali yangu,Nina Imani na mh Rais wetu mama Samia,na nitaendelea kuisemea na kuitetea popote nilipo katika ardhi hii ya Tanzania maana imeonyesha dhamira njema katika kututumikia watanzaniaThe Sunk Cost Fallacy 2 pole sana. Bado Lucas mwashambwa
Yule ana roho ya Paka,ata Mama akiamua kuachia ngazi anaweza kuendelea kumsifia!Hivi lucas mshumbuzi sijui mshambwaza yuko wapi
Ova
Siku akijua Bashe anampiga, naona atazirai kabisa!Mipango ya serikali hii imejaa maandiko ya kipigaji rejea wahindi wa january makamba hadi mipango ya kina bashe yote imejaa taharuki za upigaji usiomithilika
Achana na sie turudi kwenye yale mabattle yetu ya Mwanza vs majiji utopolo, ila mi nilikuwa najua wewe ni mtu wa kitengo, tena chawa wa kulipwa kumbe ni mkorinto kama sisi😂😂😂😂😂😂😂.Siwezi jiunga na milengo ya Kisiasa yaani kiufupi sitaki siasa,nimewahi kuwa mfuasi wa Chadema ila Toka nione walivyosaliti Ile awamu ya 5 niliachana na siasa rasmi..
Kwanza watu kama kina Shonza,Mtala Mwampamba,Silinde,Huyo aloyelia juzi fala yule tulihangaika nae Ukonga nk.
Siasa ni unafiki so Mimi siwezi nimeacha endeleeni wenyewe uzuri mambo ya kufanya hapa Duniani ni mengi..
Na mie ndio nilikuwa mtetezi mkubwa wa Serikali humu jf lakini sipati hata mia yaani nafanya kazi ya kujitolea kutetea majizi.
Bora nikajitolee kutetea watu wenye uhitaji huko.
Nafarijika kwamba siko peke yangu. Ule usaliti uliumiza roho yangu sana, toka hapo nikaamua kuachana kabisa na mambo ya vyama vya siasa. Mtu unaweza kujisababishia kifo bure kwa kuendekeza siasa za watu wababaishaji wasiokuwa na misimamo.Siwezi jiunga na milengo ya Kisiasa yaani kiufupi sitaki siasa,nimewahi kuwa mfuasi wa Chadema ila Toka nione walivyosaliti Ile awamu ya 5 niliachana na siasa rasmi..
Huwa wanaumizwa kimya kimya
Hapo Rais anaposema 'watupishe' ndio huwa sielewi kabisa. Kwamba waachie ngazi halafu wakale vizuri hizo pesa za wizi?
Hawa wezi wanatakiwa kufukuzwa kazi, kushtakiwa na kisha mali waliyochuma kwa jinai itaifishwe. Hii ndio njia rahisi ya kupambana na wezi wa mali za umma. Kwani kuna jambo gani gumu hapo?
Hakuna sehemu nchi itajuta kama BBTSiku akijua Bashe anampiga, naona atazirai kabisa!
Ni kazi..!!Kupigania Serikali kwenye Haki ya upigaji kama hii wakati Mimi sipati chochote Hadi kuishia kuitwa chawa ni fedheha.
Rasmi naacha Kuitetea Serikali wanaonufaika ndio waje Kuitetea na kujitetea..
Nitakuwa mpenzi mtizamaji na mchangiaji wa kawaida.
Mwisho ila sio Kwa umuhimu,Kama Rais atachukua hatua nitarudi ila kama itapita kimya kimya basi siko tayari kubebea watu misalaba.
You are not STUPIDsimamia kwenye ukweli tu...
Tanzania sio ngeni ndio maana tunawaambia kuna watu wanahitaji ukatiri, mijeledi, jela na vifo ili mambo yaende.
Tabia za Watanzania wengi na wengi walio kwenye mifumo hawahitaji kuchekewachekewa...