Kwa Taarifa hii ya Upigaji kutoka Kwa CAG, naacha rasmi kuitetea Serikali

Kwa Taarifa hii ya Upigaji kutoka Kwa CAG, naacha rasmi kuitetea Serikali

Kikubwa tutafute hela kwa jasho tu, hii ripoti ya CAG ambapo haifanyiwi kazi inaleta hasira sana watu mnakatwa tozo za miamala na luku halafu kuna majitu yanajimegea tu
 
Kupigania Serikali kwenye Haki ya upigaji kama hii wakati Mimi sipati chochote Hadi kuishia kuitwa chawa ni fedheha.

Rasmi naacha Kuitetea Serikali wanaonufaika ndio waje Kuitetea na kujitetea..

Nitakuwa mpenzi mtizamaji na mchangiaji wa kawaida.

Mwisho ila sio Kwa umuhimu,Kama Rais atachukua hatua nitarudi ila kama itapita kimya kimya basi siko tayari kubebea watu misalaba.
Umeanza kuwa na Akili sasa
 
Ukipenda boga penda pia na ua lake. We endelea kutetea tu, maana lengo lako si ni kuikomoa Chadema na ACT? ENDELEA TU MKUU.
 
Nilitaka kushangaa,unapataje nguvu na muda wa kutetea serikali ya wahuni,hata hao vijana wa lumumba lazima wapewe buku 7 ili wajitoe akili,kama sio mwizi fisadi na muhuni kupiti serikali hii unapoteza muda wako bure.
 
Ulishindwa kuusoma mchezo muda wote huo?

Humu watu kama wewe huja na kupita, Huja na kuondoka. Inahitaji roho ngumu sana kuitetea serikali yetu maisha yako yote.

Tz hatuna nationalism wala uzalendo ukiona mtu anatoka povu kuitetea serikali either ni naive au ni mlamba asali.

Ukweli mtupu,hakuna mtu anayejielewe akatetea hii serikali.
 
Wewe Ndugu yangu wewe...! Yaani Kuna wakati unatema madini, mfano kama hapa umetema madini kabisa sio kama kule juu ulivyoboronga.

Sasa yaweke sawa madini yako.

Tupe taratibu za kufuata ili tubadili hizo system za kusimamia rasilimali na Kila hatua ya kufuata tueleze nani anatakiwa kufanya nini na nyenzo anazopaswa kutumia.

Asante sana Asubuhi Njema.

Katiba mpya,ndio itaweka mifumo sahihi.
 
Katiba Mpya Itapunguza ila haitamaliza
Wewe Ndugu yangu wewe...! Yaani Kuna wakati unatema madini, mfano kama hapa umetema madini kabisa sio kama kule juu ulivyoboronga.

Sasa yaweke sawa madini yako.

Tupe taratibu za kufuata ili tubadili hizo system za kusimamia rasilimali na Kila hatua ya kufuata tueleze nani anatakiwa kufanya nini na nyenzo anazopaswa kutumia.

Asante sana Asubuhi Njema.

Amebaki lukas.
Nasubiria kuona kama hatua zitachukukiwa au itapita kama kimya kimya kama miaka yote.
 
Ukweli mtupu,hakuna mtu anayejielewe akatetea hii serikali.
Hakuna serikali ya ccm ilistahili kutetewa hata ya Baba yenu wa Taifa ,wote ni failures ila yeye tutamsitahi Kwa kuwa hakuwa mdogo wa Mali Bali mroho wa madaraka.
 
Huna ambacho unatetea humu wewe kila siku nikuwatukana Watanzania.
Umebadilisha majina kede kede humu na naona unarudi kule kule nenda mkazaliane na binamu wenzenu huko she*** taip
Hakuna serikali ya ccm ilistahili kutetewa hata ya Baba yenu wa Taifa ,wote ni failures ila yeye tutamsitahi Kwa kuwa hakuwa mdogo wa Mali Bali mroho wa madaraka.
 
Back
Top Bottom