Kwa Taarifa Tu: ICC hawaingii hadi majibu ya maswali 5 yafuatayo yatolewe...

Nimesoma kwa haraka na kimuhemuhe kingi.. NIMEELEWA!
Nimesoma taratibu kwa utulivu ! NIMEELEWA ZAIDI!

ITOSHE TU KUSEMA MASHTAKA YAPO NA USHAHIDI UPO WA KUTOSHA
Ni suala la muda tu kabla kibali rasmi hakijatoka!
Kilichotokea Oktoba 29 -Novemba 4 kina ushahidi mwingi sana na ambao haupingiki.

Ni moja ya kesi zilizo dhahiri kabisa kuhusu makosa ya waliotenda uovu.
 
Kwa Uzi huu ni dhahiri ICC wako njiani
Waje kufanya nini wakati Chande kishamaliza kazi!

Sijui matumaini ya wao kuja yanaleta ahueni gani kwa waTanzania!

Atakayefaidika na kuja kwao hapa ni huyo huyo mhalifu Samia.

Hii ni kazi ya waTanzania, tuache kuwatwisha wengine mzigo ambao ni wetu. Kama hatuwezi, acha tuendelee hivyo hivyo na hilo zigo linalotulemea hadi hapo watakapopatikana mashujaa wa kulitua zigo hilo mabegani mwetu.
 
Kwa watu wasioheshimu utaratibu hawawezi kuelewa maana ya kufuata utaratibu.
"Utaratibu". Kama huo ulioueleza kwenye mada?
Sina mfano uliotumia utaratibu huo katika kesi zote walizowahi kushughulika nazo hao ICC.

Pengine huu utakuwa ni maalum kwa Tanzania!
 
Vipi kama huu muendelezo wa kuiongezea muda tume usipokua na mwisho, ICC wataendelea kusubiri majibu kama ujio wa Yesu?
 
Kwa wanaokumbuka nilitoa taarifa mwezi wa kumi na mbili mwaka jana hapa kuwa nilipata nafasi ya kufanya "utalii" pale The Hague Uholanzi. Sikuwahi kufikiria naweza kufika mahali hapo kiutalii na kuweza kujifunza mambo mbalimbali.
Naikumbuka hii taarifa yako Mkuu
 
Mama Maduro alikiri kwamba nguvu waliyotumia ndiyo sawa sawa na nguvu ya waandamanaji ,na hawakutaka kusubiri mpaka serikali ipinduliwe.
 
Kwa maelezo haya, sioni namna ambayo Samuya na genge lake la mauaji litasalimika na mashtaka ktk mahakama ya ICC. Huyu mama akienda jela, kwa umri wake huu, lazima atafia huko hata kabla hajamaliza kifungo.
 
Aisee kumbe hili swala ni zito Sana kiasi hiki?
 
Sioni ni namna gani Tume ya Jaji Chande itatimiza haya
 

Sioni ni namna gani Tume ya Jaji Chande itatimiza haya
Hakuna chochote kitachozuia ujio wa ICC
 
Kuweka mawazo sawasawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…