Utumwa unaweza kuwa ni hiari ya moyo. Ina maana miaka mingi hawa watumishi wa serikali wanaidai serikali, hailipi na wao wanaendelea kusifia, " anaupiga mwingi". Hii ni akili ya kawaida? Kwa watumishi wa aina hii TZ inategemea kuendelea?
nilidhani ni walimu tu ambao huwa wansombwa na baadaye kunyimwa posho, na kama kawaida yao elimu wanaigalagaza! sasa naona ni 'watumishi', kweli WATMISHI wa serikali wengi tu!
nilidhani ni walimu tu ambao huwa wansombwa na baadaye kunyimwa posho, na kama kawaida yao elimu wanaigalagaza! sasa naona ni 'watumishi', kweli WATMISHI wa serikali wengi tu!