GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
PRADO! KUNDI GANI MKUU NIJIJUE NINA USAFIRI AU GARI?
Mbona magari ya makampuni mengine hayamo kwenye list kama Subaru, Daewoo, Astra, Saab, Hyundai na mengineyo
Mbona magari ya makampuni mengine hayamo kwenye list kama Subaru, Daewoo, Astra, Saab, Hyundai na mengineyo
Hahahaaa. Peguot, volswagen. You don't even know what u r writing. Pathetic.
we jamaa akili imekuruka, lazima ufe mwaka huu.
Hivi huyu Jamaa analeta mada Kama hii kweli ameenda shule huyu Jamaa. Ongea Vitu vya muhimu. Utafikiri Mtoto wa miaka 10. Jichunguze brother unapotea
Mkuu unakoelekea siko,kama dishi linayumba hivi,,bora uwe unatuletea tu habari za muziki wa congo kama jb mpiana, hv mkuu arlus mabele yuko wapi,loketo bado ipo? Damiani aziwa alipotelea wapi,hivi ni ana album mbili tu?
Mbona Rav 4 haipo au
Sitaki kuamini mtu anaweza poteza muda wake kumjibu anayepoteza muda wakeSitaki kuamini mtu anaweza kupoteza mda wake kuandika comment kama hii!!!
JF imeharibikiwa sana miaka hii.
Kundi A wamenuna mdomo imewavimba kubalini tu ndio hali halisi
Ni vyombo vya kukusaidia tu kufika sehem unayotaka kufika
Shida ndio zinawafanya mue kundi A
Lakin mnapenda magari
m.senge tu, huna lolote.Na Nikifa Mimi Ujue JF Itaniomboleza Kwa Miaka Saba ( 7 ) Mfululizo Lakini Ukifa Wewe Nadhani Ndani Ya Sekunde Tatu ( 3 ) Tu TUTAKUSAHAU Kwani Huna IMPACT Yoyote Humu JF Zaidi Ya UPOPOMA Tu Na Kuomba Utafutiwe Ajira Utadhani Sisi Ndiyo Tulikusomesha Na Tukakuambia Uwe Na GPA Ya 1.27.