Kwa taarifa za uhakika zilizonifikia hivi punde tu ni kwamba

Kwa taarifa za uhakika zilizonifikia hivi punde tu ni kwamba

PRADO! KUNDI GANI MKUU NIJIJUE NINA USAFIRI AU GARI?

At Least Hilo Ni Gari Mkuu Na Siyo Chombo Cha Usafiri. Hongera Kwa Kuwa Na Gari. Halafu Ukiona Watu Hapa Wananijibu Hovyo au Kupingana Na Hicho Nilichokiweka Hapo Ujue Kundi A Linawahusu 100%. Leo Watu WATANINUNIA Mno Ila Sijali Na Ukweli Ndiyo Huo Watake Wasitake.
 
Mbona magari ya makampuni mengine hayamo kwenye list kama Subaru, Daewoo, Astra, Saab, Hyundai na mengineyo

Niliyasahau Na Hayo Mkuu Ila Kwa Mujibu Wa List Yangu Niliyonayo Na Hayo Uliyotaja Pia Yote Yapo Ktk Kundi A Nikimaanisha Ni Vyombo Vya Usafiri Tu Na Siyo Magari. Pole Sana Na Jitahidi Ujipigepige Ununue Gari Sasa Na Uachane Na Hivyo Vyombo Vya Usafiri Ulivyonavyo.
 
we jamaa akili imekuruka, lazima ufe mwaka huu.

Na Nikifa Mimi Ujue JF Itaniomboleza Kwa Miaka Saba ( 7 ) Mfululizo Lakini Ukifa Wewe Nadhani Ndani Ya Sekunde Tatu ( 3 ) Tu TUTAKUSAHAU Kwani Huna IMPACT Yoyote Humu JF Zaidi Ya UPOPOMA Tu Na Kuomba Utafutiwe Ajira Utadhani Sisi Ndiyo Tulikusomesha Na Tukakuambia Uwe Na GPA Ya 1.27.
 
Hivi huyu Jamaa analeta mada Kama hii kweli ameenda shule huyu Jamaa. Ongea Vitu vya muhimu. Utafikiri Mtoto wa miaka 10. Jichunguze brother unapotea

Nilikushikia Kisu Uchungulie UZI Wangu Huu? Upumbavu Wako Ndiyo Umekushawishi Uje Huku.
 
Mkuu unakoelekea siko,kama dishi linayumba hivi,,bora uwe unatuletea tu habari za muziki wa congo kama jb mpiana, hv mkuu arlus mabele yuko wapi,loketo bado ipo? Damiani aziwa alipotelea wapi,hivi ni ana album mbili tu?

Labda Kwakuwa Wewe Ni Mwanamke Inawezekana Hicho " Kidishi " Chako Aina Ya Kokwa Ulichokikalia Ndiyo Kinawezekana Kikawa Kinayumba Kwa Kutukuka.
 
Kundi A wamenuna mdomo imewavimba kubalini tu ndio hali halisi

Ni vyombo vya kukusaidia tu kufika sehem unayotaka kufika

Shida ndio zinawafanya mue kundi A

Lakin mnapenda magari
 
Kundi A wamenuna mdomo imewavimba kubalini tu ndio hali halisi

Ni vyombo vya kukusaidia tu kufika sehem unayotaka kufika

Shida ndio zinawafanya mue kundi A

Lakin mnapenda magari

Watanuna Sana Mkuu Ukizingatia Kuwa Leo Nimewachoma Wengi Mno Humu Hadi Unaona Mapovu Yanawatoka. Na Kibaya Zaidi Wengi Wao Ni WACHOYO Wa KUTUKUKA Wa Kutoa Lifti Kwa MASELA Tunaoota Vigimbi Kila Siku Stendi Za Mabasi Kwa Kushindana Kuingia Ndani Ya Madaladala Kwa Kupitia Madirishani Mwishoni Tukifika Ofisini Tunawanukisha Watu Na Ofisi Harufu Ya Kali Na Ya Upambanaji Ya KIKWAPA!
 
m.
Na Nikifa Mimi Ujue JF Itaniomboleza Kwa Miaka Saba ( 7 ) Mfululizo Lakini Ukifa Wewe Nadhani Ndani Ya Sekunde Tatu ( 3 ) Tu TUTAKUSAHAU Kwani Huna IMPACT Yoyote Humu JF Zaidi Ya UPOPOMA Tu Na Kuomba Utafutiwe Ajira Utadhani Sisi Ndiyo Tulikusomesha Na Tukakuambia Uwe Na GPA Ya 1.27.
m.senge tu, huna lolote.
 
Back
Top Bottom