Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rwanda kuna barafu kumbe, nshakuelewa unachotafta ni comments nyingi ile ukapokee buku jero yako lumumba, sio mbaya komaa utapata hata hela ununue Passo tuKuwepo Kwangu Tu Humu JF 24/7 Ni AJIRA Yangu Tosha. Wewe Unadhani Watu Tunaingia Tu Humu Kupoteza Muda Kama Wewe? Mishahara Yangu Yote Ya MIEZI 12 Ya Mwaka Huu NIMESHALIPWA Na Sasa NAWACHEZESHENI TU MIZIKI HUMU NINAVYOTAKA NA NYIE KWELI MNAICHEZA. Halafu Labda Tu Nikushauri Nakuomba Nenda KALALE Sasa Kwani Mwenzako Hapa Nilipo Ndiyo Kwanza Asubuhi Saa 3 Huku Nje Natizama BARAFU Tu Zinavyozidi KUONGEZEKA Wakati Huko ULIPO Sasa Huwezi Kulala Kwakuwa Hapo Pembeni Yako Kuna DAMPO Na Linanuka KUNAKOTUKUKA. Hiyo Ndiyo Tofauti Kuu Ya Aliye MAMTONI NA DAMPONI. Kwa Mengi Zaidi Mtafute Nifah Akujuze Zaidi.
Hahahahahahaha mkuu comment yako imenimaliza kabisa...we jamaa akili imekuruka, lazima ufe mwaka huu.
Rwanda kuna barafu kumbe, nshakuelewa unachotafta ni comments nyingi ile ukapokee buku jero yako lumumba, sio mbaya komaa utapata hata hela ununue Passo tu
Popoma huyo, hata baiskeli hana.Basi msubiri GENTA... akupe Jibu zuri zaidi ya la keangu
Nachelea kusema umefanya grouping kwa kukurupuka tunaposema tofauti ya magari na vyombo vya usafiri tunazungumzia thamani! Kama gari yako ni chini ya million 20 wewe unatumia usafiri kama ni zaidi ya hapo wewe unamiliki gari!Inasemekana Kwamba Kumbe Haya Magari Watu Wanayoyamiliki Yamegawanywa Ktk Makundi Makuu Mawili Ambapo Kundi La Kwanza Ni Lile La CHOMBO TU CHA USAFIRI Na Kundi La Pili Ni GARI LENYEWE Na Mimi Bila Hiyana Naweka Mambo Yote Hadharani Kwenu Ili Mjue Hii Kitu Na Tuondokane Na KERO Na SHOBO Zisizo Na Msingi Humu Mitaani Na Mijini.
KUNDI A. VYOMBO VYA USAFIRI NI KAMA VIFUATAVYO:
KUNDI B. MAGARI HALISI NI KAMA HAYA YAFUATAYO:
- BAISKELI
- GUTA
- PIKIPIKI
- BAJAJI
- STARLET
- CARINA
- VITZ
- IST
- ALTEZZA
- SPACIO
- OPA
- SUZUKI
- VOLSWAGEN
- PEGUOT
- LAND CRUISER
- NOAH
Unadhani Ktk Hayo Makundi Mawili Makuu Ni Kundi Lipi Ambalo WANASTAHILI KURINGA NA WANAONEKANA KUWA NDIYO WENYE JEURI YA PESA Na Ni Kundi Lipi UNADHANI WATU WAKE WANASTAHILI WAACHE SHOBO NA MAJIGAMBO YAO HASA HAPA KWETU TANZANIA?
- BENZ
- VEROSSA
- RANGE ROVER
- MAZDA
- BMW
- DISCOVERY
- NISSAN PATROL
- VX
- CHASER
- CRESIDA
- HUMMER
Karibuni.