Kwa taarifa za uhakika zilizonifikia hivi punde tu ni kwamba

Kwa taarifa za uhakika zilizonifikia hivi punde tu ni kwamba

Kuwepo Kwangu Tu Humu JF 24/7 Ni AJIRA Yangu Tosha. Wewe Unadhani Watu Tunaingia Tu Humu Kupoteza Muda Kama Wewe? Mishahara Yangu Yote Ya MIEZI 12 Ya Mwaka Huu NIMESHALIPWA Na Sasa NAWACHEZESHENI TU MIZIKI HUMU NINAVYOTAKA NA NYIE KWELI MNAICHEZA. Halafu Labda Tu Nikushauri Nakuomba Nenda KALALE Sasa Kwani Mwenzako Hapa Nilipo Ndiyo Kwanza Asubuhi Saa 3 Huku Nje Natizama BARAFU Tu Zinavyozidi KUONGEZEKA Wakati Huko ULIPO Sasa Huwezi Kulala Kwakuwa Hapo Pembeni Yako Kuna DAMPO Na Linanuka KUNAKOTUKUKA. Hiyo Ndiyo Tofauti Kuu Ya Aliye MAMTONI NA DAMPONI. Kwa Mengi Zaidi Mtafute Nifah Akujuze Zaidi.
Rwanda kuna barafu kumbe, nshakuelewa unachotafta ni comments nyingi ile ukapokee buku jero yako lumumba, sio mbaya komaa utapata hata hela ununue Passo tu
 
Rwanda kuna barafu kumbe, nshakuelewa unachotafta ni comments nyingi ile ukapokee buku jero yako lumumba, sio mbaya komaa utapata hata hela ununue Passo tu

Huna UWEZO Wa Kufanya KAZI Ninayoifanya Na Nakushauri Kuliko Kupoteza Muda Wako Na Mimi Sasa Hivi Humu JF Jitahidi Kwanza Upambane Na Hao INZI Wanaotoka Ktk Hilo DAMPO La Jirani Ili Uweze Kulala. Kodi Yako Ndiyo Inanifanya Nile BATA Hivi Huku Wewe UMASIKINI Ukikutawala Hadi Ktk Kope Zako Za Machoni.
 
Ludicrous-so foolish or unreasonable as to be amusing... Ooh!!
 
wana PASSO tukutane mlimani city tarehe 23.04.2016 saa 11 jioni pale samaki samaki, tuzungumzie athari za mvua kwenye magari yetu.
 
Inasemekana Kwamba Kumbe Haya Magari Watu Wanayoyamiliki Yamegawanywa Ktk Makundi Makuu Mawili Ambapo Kundi La Kwanza Ni Lile La CHOMBO TU CHA USAFIRI Na Kundi La Pili Ni GARI LENYEWE Na Mimi Bila Hiyana Naweka Mambo Yote Hadharani Kwenu Ili Mjue Hii Kitu Na Tuondokane Na KERO Na SHOBO Zisizo Na Msingi Humu Mitaani Na Mijini.

KUNDI A. VYOMBO VYA USAFIRI NI KAMA VIFUATAVYO:
  1. BAISKELI
  2. GUTA
  3. PIKIPIKI
  4. BAJAJI
  5. STARLET
  6. CARINA
  7. VITZ
  8. IST
  9. ALTEZZA
  10. SPACIO
  11. OPA
  12. SUZUKI
  13. VOLSWAGEN
  14. PEGUOT
  15. LAND CRUISER
  16. NOAH
KUNDI B. MAGARI HALISI NI KAMA HAYA YAFUATAYO:
  1. BENZ
  2. VEROSSA
  3. RANGE ROVER
  4. MAZDA
  5. BMW
  6. DISCOVERY
  7. NISSAN PATROL
  8. VX
  9. CHASER
  10. CRESIDA
  11. HUMMER
Unadhani Ktk Hayo Makundi Mawili Makuu Ni Kundi Lipi Ambalo WANASTAHILI KURINGA NA WANAONEKANA KUWA NDIYO WENYE JEURI YA PESA Na Ni Kundi Lipi UNADHANI WATU WAKE WANASTAHILI WAACHE SHOBO NA MAJIGAMBO YAO HASA HAPA KWETU TANZANIA?

Karibuni.
Nachelea kusema umefanya grouping kwa kukurupuka tunaposema tofauti ya magari na vyombo vya usafiri tunazungumzia thamani! Kama gari yako ni chini ya million 20 wewe unatumia usafiri kama ni zaidi ya hapo wewe unamiliki gari!
 
Back
Top Bottom