Kwa taarifa za uhakika zilizonifikia hivi punde tu ni kwamba

Tupe vigezo basi ulivyotumia kutenganisha gari na usafiri
 
Aliyekuudhi hadi ukakurupuka kuleta uzi huu anaendesha nini gari au usafiri? manake siyo bure kuna mtu kakuzengua sehemu....!
 
VOLSWAGEN ,PEGUOT ni kitu gani hichi ??? Halafu VX kumbe sio Landcruiser ????Nanukuu Ulisema unafanya " masters ya mass communication na INTERNATIONAL RELATIONSHIP " ??? Kazi kweli kweli
 
Mtoa mada hata aina ya magari ni kitu cha kigeni kwako... Maana inaonekana hata tofauti ya magari hujui..!!
 
We huyajui magari kabisaaa. Unaponda Landcruiser unasifia verossa ?
Unaponda Landcruiser unasifia VX. ?
Unachanganya gari za 10m na za 200m?
Nani anasafiria guta?
Unaweka IST na guta kundi moja?

Hata kama ni kuchokoza mada.
 
Aliyekuudhi hadi ukakurupuka kuleta uzi huu anaendesha nini gari au usafiri? manake siyo bure kuna mtu kakuzengua sehemu....!

Haupo Mbali Na UKWELI Mkuu Kuna POPOMA Mmoja Kanizingua Leo Hii Hii Nami Nikaamua Sasa Kuja Kutema " NYONGO " Humu Na Sasa Nina Amani Tele.
 
VOLSWAGEN ,PEGUOT ni kitu gani hichi ??? Halafu VX kumbe sio Landcruiser ????Nanukuu Ulisema unafanya " masters ya mass communication na INTERNATIONAL RELATIONSHIP " ??? Kazi kweli kweli

Absolutely Out Of Context You Ludicrous! Lazima Ikuume Na Ushangae Sana Kwani Kufanya Kwangu Hizo Kozi Mbili Kwa Wakati Mmoja Kunaonekana Kuna Kuuma Mno Ukizingatia Ktk UKOO Wenu Mzima Aliyekimbia Umande Japo Kwa Kuwa Na Ka Diploma Ni Wewe. Na Labda Nikuibie Tena Siri Ili Uumie Zaidi Namaliza Rasmi November 2016 Halafu Mwakani Naunganisha Kwenda Kufanya PhD Yangu. Utanichukia Hadi UPASUKE Na Najua ID Hii Itakuuma Mno Humu JF. Chuki Yako Ya KUTOKUSOMA au KUSOMA KWA DHIKI NA SHIDA KUSIKUFANYE HADI UKAWA UNATUCHUKIA SISI AMBAO Wazazi Wetu WALIWEKEZA Vizuri PESA Zao ILI TUSOME Hivyo Kama Wa Kwako WALIWEKEZA KTK KUNYWA GONGO, KUTAHIRI UKOO WAKO, KUONGEZA IDADI YA WAKE NA KUNUNULIA UGOLO NI WAO Na WALAUMU WAO. Sasa Nime Log In Tena Ili Ni Refresh Mind Na MAPOPOMA Kama Wewe Humu Baada Ya Kazi Nzito Ya Kubukua Niliyonayo. Nafurahi Sana Unavyopoteza Muda Wako Na Mimi.
 


Kimfaacho mtu chake mkuu........ganda la muwa la jana chungu kaona kivuno
 
Absolutely out of context you ludicrous ndio nini ?? kwani lazima uandike kingereza ???? ,wewe nyama hiyo level ya masters unayoifanya huku umezeeka nlishapita kitambo sana halafu bado janki tu ,sio kozi hiyo ya mashosti "MASS COMMUNICATION AND INTERNATIONAL RELATIONSHIP " unachokisoma hata kuandika huwezi ,halafu unakuja kujitamba huku jamii forum wakati kuna watu ni madokta huku na maprof,wapo zao kimya ,anayepoteza muda nani nafurahia ujinga wa think tank wa Lumumba

Haha kusoma kwa dhiki ?? Aisee hebu nisaidie hapa nakumbuka tukiwa primary huko holiday tunapelekwa Japan ,shopping Nike shop ,enzi hizo kina Alan Iverson ndio anatisha kwenye game ,wakati huo sijui ulikua unafanya nini wewe
 
Last edited:
Ha ha ha Maguta ndio mengi mjini ha ha ha!
Mengine yana mabosi sio kila anaeliendesha ni lake!
 

Hivi Aliye Na AKILI Halafu Anajua Kabisa Kuwa Anapoteza Muda Na Mtu Ambaye Kwake Anasema Hana AKILI Huwa Anaitwaje? Unaweza Ukanijibu Wewe au Tukasubiria Members Waje Na Majibu Yao KUNTU. Halafu Angalia Jinsi ULIVYO POPOMA Unajibishana Na Mtu Ambaye Hata Huna UHAKIKA Nae Na Sana Sana Unamjua Tu Kupitia ID Hujioni Kama UNACHEKESHA Watu Humu? Halafu Nilikuwa Sijui Kumbe Kuwa Na Miaka 32 Ni Kuzeeka! Kwahiyo Mwenye Miaka 37 au 40 Utamuitaje? Kwahiyo Mwenzetu Wewe Ni Dokta au Profesa Kwani Naona Umejichanganya Hapo Ulipokuwa UKIJIBARAGUZA. Ila Sikushangai Kwani Watoto Mliopigiwa " Mabao " Chooni Kisha Mkazaliwa Na Kukulia Na Kukazwa Hapo Magomeni Mapipa Kwa Macheni Huwa Mnakuwa Na Swaga Hizi. Bora Mimi Think Tank Wa Lumumba Kuliko Wewe Think Tank Wa " Kunya Kunya " a.k.a Biafra.
 
Anamaana Bangi imeshuka bei kiasi kwamba hata wale wasiokuwa na uwezo wa kununua sasa hivi wananunua!!!!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…