Hivi dunia ya leo kuna watu bado wanatukana watu kwaajili ya utaifa wao?
GENTAMYCINE &UncleBen u have unfinished bussiness u better handle it with wisdom! We are all Africans and Africa is the same labda tofauti za Pua, weusi, lugha,culture na hulka! Tuna vita kubwa as Africans to proove the world that we can make things happening! U guys are talking rubbish ! Kama mrwanda poa, kama mtanzania poa ! Muwe wasomi au ma lymans tunataka kuona uwezo wa kukabiliana na maisha mkiwa responsible fathers, husbands,citizens sio kelele za mimi sijui nani!