Kwa taarifa za uhakika zilizonifikia hivi punde tu ni kwamba

Kaka kuringa ni tabia ya mtu,wapo watu nawafahamu wana hizo hummer
lakini ukimkuta mahali ametulia wala huwezi kumdhania,
kujikweza kwa utajiri wako usiomsaidia maskini asilale njaa nyumbani kwake,
ni ushamba na ulimbukeni,ila umetusahau sisi wenye RAV4 na kilikuu tuko kundi gani?.
 
Wewe inabidi niakuachie Manyakanga wakufunge vibwebwe sina namna tena ya kukusaidia na huyo mwenzio Vitaimana ni jamvi la wageni Mtakao kalieni tu

Oya Wewe " Uncircumcised Baboon " Nipo Sasa Hapa Maeneo Ya Sokoni Vipi Nikuletee Ndizi Mbivu au Mahindi Ya Kuchoma Ili Uyale? Kwani Najua Kuwa " Baboon " Wengi Hula Sana Hivyo Vitu Nilivyovitaja Hapo. Nijibu Upesi Vinginevyo Nitashindwa Kukununulia Halafu Utalala Njaa Leo Na Kulaumu Kuwa Sijakulisha.
 
Haha tufanye kesho saa hizi naenda kumshugulikia mke mwenzio
 
Haha tufanye kesho saa hizi naenda kumshugulikia mke mwenzio

" Uncircumcised Baboon " Hapa Kuna Ndizi Za Mshale Na Mkwizu Nikuletee Zipi Ili Ule? Halafu Ile Zamu Yako Ya Kuoshwa Kutolewa Wale " Viroboto " Wako Waliotukuka Ni Leo Je Utaogea Nje Hapo au Ktk Josho Lako Lile Ulilolizoea?
 
Dear we still have some learned fools! How was ur day my patner?
 
Kwani Land Cruiser na VX kuna tofauti ? Pia unadhani VW na Peugeot wana magari cheap? Umechemka mkuu
 
no kama mamako kwani ni maniac hakutoa mimba yako akakuzaa maniac junior

Naona Leo UMETUMIKA Mno Hapo Magomeni Mapipa Kwa Macheni Kwa Mali Kauli Tu Halafu Masela Wamesepa Na Sasa NYERO Linapwitapwita Kama Mshale Wa Saa.
 
Poa Tu Baby.
Silence is the best answer to foools lets zip our mouth and enjoy the diarrhea of their mouths! Its good to learn from fools so we dont become fools!
Lets ride bby a baboon will always remain to be a babooon even if u take to America or Europe!
 
Tatizo miafrika huishi maisha ya kujionyesha kuwa ana uwezo. Utaona ananunua Land Cruiser V8 ya kumpeleka kazini na kumrudisha home tena kwenye barabara ya lami umbali usiozidi 50km round trip. Only in TZ.
Mleta mada kuna watu wamechoka hata kupanda gari ni adhabu kwao, wewe unaona deeeaaal. Kweli kosa vyote ila sio hekima.
 
Naona Leo UMETUMIKA Mno Hapo Magomeni Mapipa Kwa Macheni Kwa Mali Kauli Tu Halafu Masela Wamesepa Na Sasa NYERO Linapwitapwita Kama Mshale Wa Saa.

unazidi kudhihirisha akili ndogo yako kipindi kile nilivyokuwa nakuona kwa yule hawara wako wa lile gazeti fulani maarufu nilikuwa nakuona wa maana sana the funny thing kuhusu wewe ni kuwa nakujua Eff You..
 
unazidi kudhihirisha akili ndogo yako kipindi kile nilivyokuwa nakuona kwa yule hawara wako wa lile gazeti fulani maarufu nilikuwa nakuona wa maana sana the funny thing kuhusu wewe ni kuwa nakujua Eff You..

Ni Lazima Tu Utakuwa Unanijua Tena Vilivyo Kwakuwa " Nimeshakutindua " Mno Hadi Nilipokutema Na Kuwa Na Mahusiano Na Huyo Hawara Yangu Uliyemtaja Hapo Wa Hilo Gazeti. Je Una Jingine Labda Umelibakisha Kwangu?
 
We ndugu huwezi kuweka vw na guta kundi moja au unaongelea vw ipi hiyo sababu kuna mi vw GTI ..golf6 golf7 hiyo Mazda cheser cressida zako zinakaa tuu. Kifupi you know nothing about cars my brother
 
Nasikitika sana kwamba ume generalize nyanya na nyama kwa kuwa vyote ni vyekundu ungeuliza sifa za kutofautish magari na usafiri ni zipi! lakini kwa kuwa umeamua kuonysha ni jinsi gani umtupu hakuna wa kukulaumu....
 
Mwenye baiskel na aringe maana usafiri wa walio wengi tz mijini na vijijini[emoji20]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…