Tatizo lenu mmezoea kusifiwa tu. Baada ya kukutana na yale mabango ya kudai Katiba Mpya, mmepaniki!Hawa ni rahisi sana kutumika na mamlaka za nchi wanakoishi.
Diaspora wanaomba wawe na uraia wa nchi mbili, yaani wawe marekani na ulaya, sijui Asia na pia wawe watanzania, wale huku na kule. Tabia ya ulafi.
Juzi wamejionyesha wako upande gani, wako upande wa maadui wa taifa, mabeberu
Siyo kwamba kimesimama [emoji848][emoji4]Kinembe leo kimecharuka
Kumbe Katiba inayodaiwa ni ya mabeberu halafu ikipatikana ndo itumike Tanzania?Hawa ni rahisi sana kutumika na mamlaka za nchi wanakoishi.
Diaspora wanaomba wawe na uraia wa nchi mbili, yaani wawe marekani na ulaya, sijui Asia na pia wawe watanzania, wale huku na kule. Tabia ya ulafi.
Juzi wamejionyesha wako upande gani, wako upande wa maadui wa taifa, mabeberu
hi Jamaa bado tu unaishi wakati wa magufuli kwamba upinzani ni uadui badilika ndugu yangu magufuli kaondoka na ukatiliwake wa wapinzani samia yuko tayari kukosolewa yeye c kiongozi wa malaika na mara zote anasema yuko tayari kusikiliza mawazo ya wengine wakiwemo hao diaspora.Hawa ni rahisi sana kutumika na mamlaka za nchi wanakoishi.
Diaspora wanaomba wawe na uraia wa nchi mbili, yaani wawe marekani na ulaya, sijui Asia na pia wawe watanzania, wale huku na kule. Tabia ya ulafi.
Juzi wamejionyesha wako upande gani, wako upande wa maadui wa taifa, mabeberu
Hawa ni rahisi sana kutumika na mamlaka za nchi wanakoishi.
Diaspora wanaomba wawe na uraia wa nchi mbili, yaani wawe marekani na ulaya, sijui Asia na pia wawe watanzania, wale huku na kule. Tabia ya ulafi.
Juzi wamejionyesha wako upande gani, wako upande wa maadui wa taifa, mabeberu
Pale ubelgiji ndio kijiwe Cha mawakala wa usalama duniani, Lissu Yuko pale, he is corrupted and not fit to be out presidentKusaliti nchi maana yake kutoa siri za nchi kwa adui. Leo hii nchi kama Tanzania kila leo Samia yuko World Bank na IMF kuomba hela unadhani kuna siri yeyote ya nchi hao mnaowaita mabeberu hawaijui? Kabla ya kutoa misaada yao ni lazima uwape taarifa muhimu hivyo siri za nchi wanapelekewa na serikali kwa hiari yao!
Nakuhakikishia kuwa Marekani kwa mfano wanaijua Tanzania kuliko hata jinsi Viongozi wa serikali wanavyoijua nchi yao; hivyo suala la kusema nchi itasalitiwa limepitwa na wakati kwani tekinolojia ya leo sio ya kuhesabu vizibo vya bia tena!! Kukataa uraia pacha ni kwasababu ya IGNORANCE na INFERIORITY complex basi; lakini wananchi wajue kuwa kwa ujinga huu nchi inakosa fursa nyingi sana ambazo majirani zetu wanazipata kwa kuwa na DUAL citizenship.