BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Utafiti kutoka Chuo kimoja Kikuu huko London unasema kwamba, unapojikwaa au kupata maumivu, kiwango cha uchungu unachopata kinategemea na kiwango chako cha maisha.
Iwapo wewe ni maskini basi utahisi uchungu mwingi zaidi kuliko yule ambaye ni tajiri.
Una maoni gani kuhusiana na utafiti huu?
Iwapo wewe ni maskini basi utahisi uchungu mwingi zaidi kuliko yule ambaye ni tajiri.
Una maoni gani kuhusiana na utafiti huu?