GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tanga haina wavuta bangi.Mikoa inayoongoza kwa Uvutaji Bangi nchini Tanzania ni hii ifuatayo.....
1. Arusha
2. Manyara
3. Iringa
4. Morogoro
5. Ruvuma
6. Mara
Tangia lini Watu wa Manyara na Morogoro wakawa na Uthubutu wa Kuvuta Bangi / Bange?
Takwimu hii ingekuwa kama ifuatayo si tu ningeamini bali ningefurahi mno kwani ndiyo Ukweli ulioko hata Kiuhalisia wake tu....
1. Mara
2. Arusha
3. Iringa
4. Ruvuma
5. Kilimanjaro
6. Tanga
Uwe unaelewa kilichoandikwa, hizo ni takwimu za wavutaji na siyo walimaji.Mikoa inayoongoza kwa Uvutaji Bangi nchini Tanzania ni hii ifuatayo.....