Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Tumesha fanya so hatujakurupuka, zuchu anaongoza platform zaidi ya sabaWashamba wengi mmekariri you tube.
Hao wasanii uliowataja hapo wote wana platforms zaid ya 12 tofauti na you tube watu wanastream online.
Rudi kafanye research upya kwenye all more than 12 platform ulete tena mrejesho hapa.
Kumbe WCB ndo kila kitu, na je mnaijua foundation yake .?Umemaliza kila kitu.. Na huo ndo ukweli
Mbona kila kitu WCB, yeye si Ana KMW na pia si kuna Kings music records, mbona wakina killy, cheed walifeli...? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ili tuwalinganishe mwambie ZUCHU AJITOE WCB kama HARMONIZE kwanza tofauti na hapo unajitekenya mwenyewe tu.
Wewe na nani mmeshafanya ???Tumesha fanya so hatujakurupuka, zuchu anaongoza platform zaidi ya saba
Kwa hiyo wewe ndiye msemaji wa Harmonize, au sio!?Dogo nimempa assignment akafanye research upya na ameenda,
wewe kaa kwa kutulia usijipe kazi ya kuwa msemaji wake wakati yeye mwenyewe amenielewa.