Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Tumesha fanya so hatujakurupuka, zuchu anaongoza platform zaidi ya sabaWashamba wengi mmekariri you tube.
Hao wasanii uliowataja hapo wote wana platforms zaid ya 12 tofauti na you tube watu wanastream online.
Rudi kafanye research upya kwenye all more than 12 platform ulete tena mrejesho hapa.