Kwa takwimu hizi Harmonize unapotea

Kwa takwimu hizi Harmonize unapotea

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,436
Tangu harmonize aitambulishe album yake ya afro east, tayari ameachia official video kwa takribani ngoma 7 youtube bt amekua na takwimu mbovu ukilinganisha na zuchu alie tambulishwa nyuma ya afro east album.

HARMONIZE
1. mama 1.8m
2.bedroom 3.1m
3.bedroom remix 1.6m
4.fall in love 2.5m
5.wife 1.6m
6.never give up 387k
7.nishapona 666k
total views: 11.6m

ZUCHU
1.wana 4.5m
2.kwaru 2.6m
3.nisamehe 2.5m
4.raha 1.7m
5.hakuna kulala 1.2m
total views: 12.5 m

kwa takwimu hizi tafadhali harmonize na management yako mjitafakari mapema kisha muangalie mnakwama wapi mpate suluhu mapema coz ni aibu kubwa sana harmonize kuzidiwa takwimu na kitoto kama zuchu.
 
Harmonize kwa sasa anatafuta funs base yake, kwa hilo siwezi shangaa ila zuchu anatumia funs wa WCB na wala sio shabiki zake..unatakiwa ufahamu hilo mkuu..
Haya maneno yakujifariji sijui hua mnayatoa wapi, hata mondi kapitia kwa watu bt alipotoka hakuwahi kushuka bali alipanda zaidi hivo kusema anatengeneza fanbase ni kujidanganya bure.
 
Kwenye Maisha Ivyo V2 Vyoote Vipo Kupanda Na Kushuka Kwa views Kwa Harmonize Kulinganisha Na Zuchu Haina Maana Zuchu Ndo Akawa Msanii Mkubwa Kuriko Harmonize Ila Hapo Ni Chuki Na Kasumba Tu Ilyoingia. Kama Unaweza Kumshauri Basi Mshauri Uyo Zuchu Atoke Wcb Muone Kama Ntapata Views Ata 6
 
Salam Sk umeona ukimpa konde boy mkono wako kama vile atafaidika sana
 
Kwenye Maisha Ivyo V2 Vyoote Vipo Kupanda Na Kushuka Kwa views Kwa Harmonize Kulinganisha Na Zuchu Haina Maana Zuchu Ndo Akawa Msanii Mkubwa Kuriko Harmonize Ila Hapo Ni Chuki Na Kasumba Tu Ilyoingia. Kama Unaweza Kumshauri Basi Mshauri Uyo Zuchu Atoke Wcb Muone Kama Ntapata Views Ata 6
kuupindisha ukweli kamwe hakutowahi msaidia harmo, njia pekee itakayomfaa ni kuambiwa ukweli.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii week team tecno wereva wallah yatawabana mavi, maana mnavohaha uwiiiiiiiiiiiiih
 
Washamba wengi mmekariri you tube.

Hao wasanii uliowataja hapo wote wana platforms zaid ya 12 tofauti na you tube watu wanastream online.

Rudi kafanye research upya kwenye all more than 12 platform ulete tena mrejesho hapa.
mkuu tungejikita kumshauri konde ili asizidi kudrop, mbona zamani youtube alifanya vizuri je kwa sasa anakwama wapi?
 
Back
Top Bottom