Ni haki tujiiete taifa changa na tegemeziKwa ufupi
Kuanzia miaka 0-35 ni watu Milioni 48, ambao wengi ni wanafunzi, watoto, wasio na kazi etc.
Kuna kundi la kuanzia miaka 60-80
Ni watu Milioni 3.5, ambao ni wastaafu, wazee etc
Hivyo jumla tuna watu Milioni 51.5 ambao hawazalishi
Hawa wengi ni tegemezi.
Jumla ya tegemezi ni Asilimia 84
Hivyo twabakia na watu Milioni 10 pekee ambao wako kwenye kazi
Asilimia 16 pekee ndo yalipa kodi, yafanya kazi kulisha Asilimia 84
Kwa ufupi
Kuanzia miaka 0-35 ni watu Milioni 48, ambao wengi ni wanafunzi, watoto, wasio na kazi etc.
Kuna kundi la kuanzia miaka 60-80
Ni watu Milioni 3.5, ambao ni wastaafu, wazee etc
Hivyo jumla tuna watu Milioni 51.5 ambao hawazalishi
Hawa wengi ni tegemezi.
Jumla ya tegemezi ni Asilimia 84
Hivyo twabakia na watu Milioni 10 pekee ambao wako kwenye kazi
Asilimia 16 pekee ndo yalipa kodi, yafanya kazi kulisha Asilimia 84
Wanazalisha sana tuu ila sio Kwa Tija.Yaani 18 -35 hawazalishi??
wanazalisha wapi mkuu- wanacheza pool na kutoa huduma kama vile kushiriki kwenye maandamano- lakini kuzalisha kitu wakakiweka sehemu tukione hakuna
Lakini huwezi sema wote hao no tegemeziWanazalisha sana tuu ila sio Kwa Tija.
Mimi sijasema ni tegemezi na mtoa mada asipotoshe asubirie uchambuzi unaendelea wahusika watatoa labour force patterns yetu.Lakini huwezi sema wote hao no tegemezi
Mkuu si tegemezi ila hawako kwenye actual physical production- hawa ndio wanataka wali na maharage uuzwe 500 wakiabiwa 1,500 wanasema maisha yamepanda. Hawajui wali unaanzia kwenye jaruba, unakuwa mpunga, halafu mchele. Hawajui ndizi zinalimwa. Hawajui nyama inatopkana na ng'ombe anayechungwa na kutafutiwa majiGeneralization hii....
Mmeongeza chumvi Sana...
Kwahiyo bodaboda wote ni tegemezi??
Kuna kitu mnaongea lakini chumvi imeizidi uhalisia
Mkuu kwa kutumia takwimu hizo za wenyewe ninao uwezo wa kuchambua na kukwambia taifa letu ni la watu tegemezi na sipotoshiMimi sijasema ni tegemezi na mtoa mada asipotoshe asubirie uchambuzi unaendelea wahusika watatoa labour force patterns yetu.
zaidi ya laki 3Yet watu wanaongoza Nchi bila kuwa na Mipango serious
Imagine vyuo vya kati na vya Juu private na puplic vyote Kwa pamoja Kwa kada Moja tuu ya walimu wanadahili Watoto zaidi ya 131,000 na kazi zinazotolewa haziziti 12,000 Kwa mwaka..
Hii ni hatari