Kwa tamaa na Uchu wa Madaraka Lissu amejidhulumu nafasi ya Uongozi, Pia amejikosesha fursa ya wazi kugombea Urais kupitia CHADEMA

Mi mzalendo nalipa Kodi, nimeajiri watz
ndiyo,
hicho ndicho kama nchi tunahitaji watu wafanye ili hatimae serikali ipate maokoto na wanainchi wapate maendeleo,

lakini sasa hii tabia ungine ya kumbwelambwela na makasiriko na mihemko ambayo ni vitu useless na completely nonsense sijui hata umaokoteza wap hii,

huko nyuma hukua hivyo gentleman 🐒
 
Tàtizo Chadema ukigombea uenyekiti tuu unafukuzwa na hutaruhusiwa kugombea çheo chochote kupitia Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…