Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote lakini nafikiri hilo lingewezekana tu kama tungekuwa na bunge huru ambayo sio muhuri kama hili la siku zote.
Lakini kwa bunge hili la sasa ambapo wabunge wa ccm wanatakiwa kuunga juhudi bila kuhoji hamna kabisa ulazima wa kuwa na wabunge wasomi kwa upande wa ccm ila kwa upande wa upinzani sawa kuna ulazima.
Ndio maana tunahitaji katiba mpya ili bunge, mahakama na taasisi zingine zimalize vifungo vyao kutoka kwa rais ambaye hii katiba imemuacha awe dikteta.