Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kwa maana ya usomi ni nini????? Mbona watanzania tunataka kuhalalisha ujinga kwa kiasi hiki?????Ukimwangalia Kabudi Kama mwanasiasa na Tena mteule wa Rais unaweza kudharau usomi wake ika ukimwangalia Kabudi Kama Kama mtu Ni ya Siasa au uteule ndo utakapoweza kumuelewa. Hivyo sidhani Kama unaweza kudharau PHD yake. Jaribu kumfuatilia akiwa bado Yuko nje ya Siasa za uteule ndo utakapopata kumjuwa Kabudi halisi
Usomi wa mtu unatakiwa kuwa nyakati zote na kwenye mazingira yote anayokuwa. Kusema nimuangalie akiwa nje ya siasa hapo sikubaliani na wewe!!! Ifike kipindi watanzania tuwe wakweli ili tuisadie kweli nchi yetu. Haiwezekani mtu akawa msomi wa madegree mengi alafu akawa haonyeshi huo usomi wake kwenye nafasi anazopata alafu tunachukulia poa tu!
Amini maneno yangu, class ya wasomi ya Tanzania ndo watu wajinga zaidi kuliko class ya watu ambao hawajasoma sana