Kwa Tanzania, mtu mwenye akili hawezi kuoa/kuolewa

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Hayo siyo maneno yangu, ni maneno ya mwanzilishi wa KATAA NDOA, the late Le Mutuz.

Baadhi ya mambo yanayokera kwenye kuanzia kwenye uchumba ni pamoja na maswali ya kijinga kama:-
*Umelala?
*Umekula?
*Unafanya nini?
*Uko wapi?
Kama haya yanajitokeza kwenye uchumba, vipi ndani ya ndoa? Ni walio nazo pungufu tu ndiyo wanaweza kuvumilia bughudha ya namna hii.
 
*Imekula?

Kama mtu umempenda hayo maswali ni ya kawaida kabisa.
Na hayatokukera.

Tatizo linaanza kama mtu huyo umuelewi.
 
Sahihi, kama unampenda kweli hata ukiona ka'sms toka kwake hata kama ni ka kijinga unajiskia vizuri.
 
Hayo siyo maneno yangu, ni maneno ya mwanzilishi wa KATAA NDOA, the late Le Mutuz.

Baadhi ya mambo yanayokera kwenye kuanzia kwenye uchumba ni pamoja na maswali ya kijinga kama:-
*Umelala?
*Imekula?
*Unafanya nini?
*Uko wapi?
Kama haya yanajitokeza kwenye uchumba, vipi ndani ya ndoa? Ni walio nazo pungufu tu ndiyo wanaweza kuvumilia bughudha ya namna hii.
Nabii Tito
 
Imekula? Una mwandiko😂
 
Vimaswali vidogo dogo tu hivyo nadhani ukiingia kwenye ndoa hivyo vimaswali huisha vyenyewe automatically
 
Hayo maswali utayaona yana maana upweke utakapo anza kua rafiki yako.Wengine baadae ndipo hufuga hata mbwa ili apate wa kumpigia hizo kelele,kuna watu wana mali magari, mijumba mikubwa ila hawana hao watu wa kuwapigia kelele na wanawatafuta ila ndio washachelewa.
 
Mtu hawe na hela akose mwanamke acha utan mkuu
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Kumbe lemtuz ndiye mwanzilishi wa chama letu pendwa?

Back
Top Bottom