Kwa Tanzania, mtu mwenye akili hawezi kuoa/kuolewa

Kwa Tanzania, mtu mwenye akili hawezi kuoa/kuolewa

Hayo siyo maneno yangu, ni maneno ya mwanzilishi wa KATAA NDOA, the late Le Mutuz.

Baadhi ya mambo yanayokera kwenye kuanzia kwenye uchumba ni pamoja na maswali ya kijinga kama:-
*Umelala?
*Umekula?
*Unafanya nini?
*Uko wapi?
Kama haya yanajitokeza kwenye uchumba, vipi ndani ya ndoa? Ni walio nazo pungufu tu ndiyo wanaweza kuvumilia bughudha ya namna hii.
Naam
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Back
Top Bottom