Umelala?😂😂😂😂 ila hayo maswali 💯 yanaboa yakiulizwa daily
Kama mtu umempenda hayo maswali ni ya kawaida kabisa.Hayo siyo maneno yangu, ni maneno ya mwanzilishi wa KATAA NDOA, the late Le Mutuz.
Baadhi ya mambo yanayokera kwenye kuanzia kwenye uchumba ni pamoja na maswali ya kijinga kama:-
*Umelala?
*Imekula?
*Unafanya nini?
*Uko wapi?
Kama haya yanajitokeza kwenye uchumba, vipi ndani ya ndoa? Ni walio nazo pungufu tu ndiyo wanaweza kuvumilia bughudha ya namna hii.
Sahihi, kama unampenda kweli hata ukiona ka'sms toka kwake hata kama ni ka kijinga unajiskia vizuri.Kama mtu umempenda hayo maswali ni ya kawaida kabisa.
Na hayatokukera.
Tatizo linaanza kama mtu huyo umuelewi.
niko naota jua🌚Umelala?
Nabii TitoHayo siyo maneno yangu, ni maneno ya mwanzilishi wa KATAA NDOA, the late Le Mutuz.
Baadhi ya mambo yanayokera kwenye kuanzia kwenye uchumba ni pamoja na maswali ya kijinga kama:-
*Umelala?
*Imekula?
*Unafanya nini?
*Uko wapi?
Kama haya yanajitokeza kwenye uchumba, vipi ndani ya ndoa? Ni walio nazo pungufu tu ndiyo wanaweza kuvumilia bughudha ya namna hii.
Imekula? Una mwandiko😂Hayo siyo maneno yangu, ni maneno ya mwanzilishi wa KATAA NDOA, the late Le Mutuz.
Baadhi ya mambo yanayokera kwenye kuanzia kwenye uchumba ni pamoja na maswali ya kijinga kama:-
*Umelala?
*Imekula?
*Unafanya nini?
*Uko wapi?
Kama haya yanajitokeza kwenye uchumba, vipi ndani ya ndoa? Ni walio nazo pungufu tu ndiyo wanaweza kuvumilia bughudha ya namna hii.
Mtu hawe na hela akose mwanamke acha utan mkuuHayo maswali utayaona yana maana upweke utakapo anza kua rafiki yako.Wengine baadae ndipo hufuga hata mbwa ili apate wa kumpigia hizo kelele,kuna watu wana mali magari, mijumba mikubwa ila hawana hao watu wa kuwapigia kelele na wanawatafuta ila ndio washachelewa.
Hayo siyo maneno yangu, ni maneno ya mwanzilishi wa KATAA NDOA, the late Le Mutuz.
Baadhi ya mambo yanayokera kwenye kuanzia kwenye uchumba ni pamoja na maswali ya kijinga kama:-
*Umelala?
*Umekula?