Hayo siyo maneno yangu, ni maneno ya mwanzilishi wa KATAA NDOA, the late Le Mutuz.
Baadhi ya mambo yanayokera kwenye kuanzia kwenye uchumba ni pamoja na maswali ya kijinga kama:-
*Umelala?
*Umekula?
*Unafanya nini?
*Uko wapi?
Kama haya yanajitokeza kwenye uchumba, vipi ndani ya ndoa? Ni walio nazo pungufu tu ndiyo wanaweza kuvumilia bughudha ya namna hii.