Simba itakuwa inakukuna na kukushona vizuri sana.
Hakika Simba ni Mfalme WA poli.
Hulali bila kumtaja taja.
SIMBA ANASHONA NA KUKUKAZA VIZURI.
Thank You..... Very Much....
Profesa Uchwara...
Thank Uuu
TK Master....
Thenkyuu
Manywele.... Hauna baya We Nenda tu Kiatu hapa Bongo Sahau kwa Ulivyokosa Mapenati ya Mchongo..We Nenda tu..
Na wewe upewe shanga kwa kuanzisha nyuzi nyingi zinazoihusu Simba.Yes nimekaa hapa nikakumbuka yale ya Manzoki na Adebayor mwisho wa siku Manzoki akaja kama kampeni meneja wa mtu flani na sio kama mchezaji.
Ukija kwa tetesi mpaka sasa Simba tiyari wana vikosi 2 vya wachezaji 22 kila mchezaji naona ni wa kwao.
Mwisho wa siku tunaishia kuweletewa kina Okwa, Akpan, Dejan...nk
Sijui kama walimuomba Rage msamaha manake wamejitoa ufahamu na wote kuhamia Yanga baada ya mafaniko lukuki ya Yanga.
Rage ana mademu wengi sana huko Yanga hamuishi kumtaja taja kwa jinsi anavyowapelekea moto[emoji3][emoji3]Rage aombwe msamaha naona ile kauli yake inaenda kutimia.
Rage anakukuna sana dada siyo kwa misifa hiyo akuoe tu.[emoji3][emoji1787][emoji1787]kwa lipi hilo mkubwa sishangai hebu rudia kusoma ulichoandika then jipige kifua mara 2 huku ukisema Rage hakukosea.