bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Yes nimekaa hapa nikakumbuka yale ya Manzoki na Adebayor mwisho wa siku Manzoki akaja kama kampeni meneja wa mtu flani na sio kama mchezaji.
Ukija kwa tetesi mpaka sasa Simba tiyari wana vikosi 2 vya wachezaji 22 kila mchezaji naona ni wa kwao.
Mwisho wa siku tunaishia kuweletewa kina Okwa, Akpan, Dejan...nk
Sijui kama walimuomba Rage msamaha manake wamejitoa ufahamu na wote kuhamia Yanga baada ya mafaniko lukuki ya Yanga.