Kwa tetesi tu usajili Simba washabeba makombe yote

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Yes nimekaa hapa nikakumbuka yale ya Manzoki na Adebayor mwisho wa siku Manzoki akaja kama kampeni meneja wa mtu flani na sio kama mchezaji.

Ukija kwa tetesi mpaka sasa Simba tiyari wana vikosi 2 vya wachezaji 22 kila mchezaji naona ni wa kwao.

Mwisho wa siku tunaishia kuweletewa kina Okwa, Akpan, Dejan...nk

Sijui kama walimuomba Rage msamaha manake wamejitoa ufahamu na wote kuhamia Yanga baada ya mafaniko lukuki ya Yanga.
 
Kawaida Yao makolo beat nyingi wakati wa usajili. Ligi ikianza hamna kitu.
 
Thank You..... Very Much....

Profesa Uchwara...

Thank Uuu

TK Master....

Thenkyuu

Manywele.... Hauna baya We Nenda tu Kiatu hapa Bongo Sahau kwa Ulivyokosa Mapenati ya Mchongo..We Nenda tu..
 
FB_IMG_1682646137959.jpg
 
Simba itakuwa inakukuna na kukushona vizuri sana.

Hakika Simba ni Mfalme WA poli.
Hulali bila kumtaja taja.

SIMBA ANASHONA NA KUKUKAZA VIZURI.
 
[emoji3][emoji1787][emoji1787]kwa lipi hilo mkubwa sishangai hebu rudia kusoma ulichoandika then jipige kifua mara 2 huku ukisema Rage hakukosea.
 
Thank You..... Very Much....

Profesa Uchwara...

Thank Uuu

TK Master....

Thenkyuu

Manywele.... Hauna baya We Nenda tu Kiatu hapa Bongo Sahau kwa Ulivyokosa Mapenati ya Mchongo..We Nenda tu..

Mbona hueleweki ulichoandika au nawe upo kwenye lile kundi la Rage nini angalia bana mbona nafahamu kati ya fans wa Simba wewe ni mjanja kidogo.[emoji3]
 
Yes nimekaa hapa nikakumbuka yale ya Manzoki na Adebayor mwisho wa siku Manzoki akaja kama kampeni meneja wa mtu flani na sio kama mchezaji.

Ukija kwa tetesi mpaka sasa Simba tiyari wana vikosi 2 vya wachezaji 22 kila mchezaji naona ni wa kwao.

Mwisho wa siku tunaishia kuweletewa kina Okwa, Akpan, Dejan...nk

Sijui kama walimuomba Rage msamaha manake wamejitoa ufahamu na wote kuhamia Yanga baada ya mafaniko lukuki ya Yanga.
Na wewe upewe shanga kwa kuanzisha nyuzi nyingi zinazoihusu Simba.
 
[emoji3][emoji1787][emoji1787]kwa lipi hilo mkubwa sishangai hebu rudia kusoma ulichoandika then jipige kifua mara 2 huku ukisema Rage hakukosea.
Rage anakukuna sana dada siyo kwa misifa hiyo akuoe tu.
 
Back
Top Bottom