wasakatonge forever
Member
- Jul 15, 2024
- 19
- 15
Habar za uzima wana JF
Tarehe 7/10/ 2024 mwaka huu katika mji wa CAIRO ambapo ndipo yalipo makao makuu ya CAF tunatarajia kushuhudia droo ya kupangwa kwa makundi ya mashindano ya cafcl & cafcc kwa msimu huu.
Kwa upande wa cafcl kutakua na pot's 4 , :- pot 1 ;-Al ahly{Egypt}
-Esperance de Tunis
-Mamelodi Sundowns
-TP Mazembe
Pot 2;-CR Belouizdad
-Raja club athletic
- Young Africans
- Pyramid FC
Pot 3;-Al Hilal
-Orlando pirates
- ASFAR
-Sagrada Esperança
Pot 4;- MC Alger
- Djoliba { Mali }
-Maniema Union
-Stade d' Abdijan
Je kulingana na hizo pot's ukiwa kama mtu wa michezo eb panga hpo makundi kwa wewe unavohisi af tuje tufananishe na ya hiyo siku ya j3 kama umepatia hata kundi moja! , jaribu hata kundi moja tu kama yote manne yatakushinda
Kumb : kila pot inatoka timu moja il kuunda timu 4 kwenye kundi 1 ,
Aya kazi kwako mimi nayasubir niyaone , huk na mim nikiwa nachezesha droo ..
All the best