Kwa tuhuma alizonazo Ole Sabaya, anaweza akakimbia nchi, awekwe chini ya ulinzi

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Kuna tuhuma ambazo zinamkabili Sabaya, ni nyingi na za ukatili kubwa, uvujifu wa haki za watu Hai, mateso mauaji , utekaji etc etc uliokithiri.

Katika hali ya kawaida, kwa level ya tuhuma hizo, za mauaji ya wazi, utekaji etc inatoa uhalali wa kumweka kizuizini asitoroke ili haki itendeke.

Huyu atatoroka hata pengine kujiua ili kuepuka kunyongwa/kufungwa na adhabu nyinginezo.

Awekwe chini ya ulinzi ili haki itedeke
 
Sabaya akienda jela lazima apewe mimba ya watoto pacha
 
Naskia tayari yupo kituo fulani cha polisi toka jana.
 
Kwa tuhuma hizo anatakiwa awekwe kizuizini hadi uchunguzi utoke la sivyo ni hatari sana usakama wake
 
Akimbie tu mbona kina Lemma na Lissu wanalelewa huko.
 
Wazo mujarabu.
Niliwaza hivyo tangu jana.
Nategemea na IGP atoe maamuzi kuhusu OCD wa Hai maana yeye ndie alikuwa mratibu mkuu wa huyu jambazi
Nategemea leo kusikia OCD naye ameshimamishwa kwa uchunguzi.
Badala ya kuwa mlinzi alikuwa kada mtiifu kwa jambazi Sabaya.. Hadi kutoa silaha za serikali kumpa Sabaya azitumie na majambazi ambao sio watumishi wa umma.
Kwa serikali makini nilitegemea muda huu kuwe na upekuzi ghala la silaha kituo kikuu Boma ili kuona movement ya silaha.
Otherwise silaha zina kwenda kuangukia mikononi mwa majambazi.
 
Hivi huyu mtumishi wa Sabaya bado yupo ?
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu nawewe ni mzushi tu unasema kiujumla jumla tu wakati uongo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…